🚨⚠️ Napoli president De Laurentiis: “De Bruyne and Lukaku? We will see, also what the manager will say about their future”.
“And then if they want to leave, what’s the problem? There are so many players around the world”.
Pale Mexico unaambiwa Sinaloa Cartel na Jualez Cartel wakiamua kukiwasha friend mechi mitaa yote inawaka moto hakuna wa kutoka nje hata polisi huwa hawaingilii.
MITI INAUZWA 🌲
Kuna Ekari 100 za miti ya Mpaina (pine) zinauzwa. Mmiliki anataka msitu wote uchukuliwe kwa pamoja. Tangu kupandwa ina miaka 20.
Eneo- LUDEWA (Njombe)
#BEI - 100M
Ukaguzi wa msitu unahitaji zaidi ya saa 5. Kumbuka kuweka posho yangu
Call/WhatsApp 0719542184
Kama unachukua TV kwa matumizi ya king'amuzi nyumbani huna haja ya kudeal na mambo ya 4K sijui QLED 😂.
Hizo features ni nzuri kama unastream Movies kwenye Netflix au unaangalia mpira kupitia websites zenye resolution kubwa.
Channel za ving'amuzi huwa na resolutions ya HIGH DEFINITION ( HD) ya 1080p
Kuna matrix moja ya uwekezaji ambayo watu wengi hawaioni.
Unaambiwa:
“Wekeza TSh 100,000 kila mwezi kwa miaka 30.”
Ukifanya hesabu unaona mwisho utakuwa na pesa nyingi.
Lakini swali la msingi ni kwamba ,
Je, ndani ya miaka hiyo 30 utaongeza kipato chako kwa kiasi gani?
👇🏼
Mwanangu 1 primary hakuwa wa kishua, kuna siku during break time naona ananunua misosi mingi sio kawaida, akanipasia ya kutosha. After kumaliza kula nikamuuliza "pesa umetoa wapi?" Akajibu kapewa na bro wake.
Tunarudi class nasikia rambirambi tulizochanga mornie zimeibiwa.🙌
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.