🟢BUNGENI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba akiwa anaingia bungeni leo kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Naibu Waziri anayeshughulikia Elimu @ortamisemitz
Kiukweli Elimu ya Tanzania ikiendeshwa kwa sera itafika mbali lakini hivi ya MAAGIZO YA MHE. RAIS hatutafika mbali.
Nilitamani mh. Waziri aongee kwa kusema sera ya elimu inasema hivi na si kuwa ni maagizo ya Mheshimiwa rais @HakiElimu @ortamisemitz
@BulenduDotto Kijana yuko vizuri sana. Nikimsikia akitaja Nyamalango na mitaa ya kwa Masha kumbe ni zao @StAugustineoftz najivunia chuo changu.
Kijana bado analijenga ajiji la Mungu
Tanzania tuendelee kuomba. Yaani mvua inanyesha mjini tu kwenye mito inayopeleka maji Kifaru, Mtera, Nyumba ya Mungu hazinyeshi. #watanzania tuisaidie @tanescoyetutz ili umeme usikatike