Tulienda na boda jeshini kununua maitaji boda nikamwambia Zima mziki wako boda akawa mbishi tukapita geti la kwanza shwali la pili shwali kuingia la 3 tukaambiwa simama Flash Ina nyimbo ngapi boda akasema sijui akaambiwa haya ongeza sauti alafu mcheze mpk ziishe kuanzia saa 4 mpk saa 11 tunakiwasha.