kuamini katika falsafa zangu ni bora zaidi kuliko kupumbazwa na falsafa zilizoteka wengi kwa maana hao wanafalsafa walikuwa kama mimi tu. naamini katika mimi
@kigogo2041 Nilimpenda sana yule mwamba na nikadream kuja kuwa kama yeye ila kwakuwa ilikuwa movie ndoto haikuwa na nguvu ila sasa naona mtu anafanya in real life,nafarijika sana!......ni ndoto yangu kuja kuwa mtu wa kuuweka wazi ukwel unaofichwa na wachache kwa maslah yao
@kigogo2041 kUna series moja ya america yakuitwa dark angel, jamaa alijiita eyes only, aliisumbua sana serikali kwa kuvujisha siri ovu zilizokuwa zikifanywa na serikal!..nilivutiwa sana na yule jamaa thats why navutiwa nawe sanaa
@fatma_karume Nileteeni chid nileteeni chid nileteeni chid nileteeni chiiiiiiiiiiiidiii , alisikika TID huku hela zinasema hatutaki kura mifukoni @halimamdee