Yani watu kwakupitia Chama kinachoitwa
CCM na mashati yao ya mbogamboga ndo
wawe waamuzi wa wana nchi wote, bila hata
Kuona mkataba mnakuja na ngonjera za Mpoto, Tunahitaji mkataba tuusome tupo
Tayari hata Kufa ila Bandari zetu zibaki kwa
Vizazi na vizazi, WEKA MKATABA HADHARANI
MaCCM na unafiki ni damu moja. Protase Cardinal Rugambwa amepokelewa na watawala wakimsujudia wakati alipoketi Kigamboni na maaskofu wenzake wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kutoka na TAMKO la kupinga mkataba wa kuuza bandari MaCCM walisema asichanganye dini na siasa
Join #MariaSpaces WhatsApp group 👊🏽
Mijadala inaendelea huko WhatsApp kabla, baada na wakati wa Space!
Karibuni - wahini muda wowote group litajaa 😅
#TutaelewanaTu
Besides arresting the opposition Deputy Party Leader, @TunduALissu and three national leaders, @tanpol have arrested seven CHADEMA top leaders in Karatu district. Karatu is under siege and lockdown. The crackdown continues.
In 1958, citizens who had been relocated from the Serengeti to Maasai community signed an agreement that guaranteed them the rights to occupy and use the land. #StopMaasaiEviction#ChangeTanzania https://t.co/fNe7O0jUS0
Chondechonde CCM msimuondolee hadhi ya Uwaziri mkuu, Cleopa Msuya kwa maoni yake dhidi ya Chadema, sikilizeni maoni yake kama ni machungu mezeni Panadol.
Wambura ,Hata sisi wananchi Tumejipanga zaidi yenu, Tuwaambie tu kwamba bila #KatibaMpya hakutakuwepo uchaguzi ,Tutatumia Nguvu ya umma kuwatoa madarakani hao MAFISADI, This time kama Mbwai na iwe Mbwai ,Muda wa kubembelezana umekwisha ,#EnoughIsEnough#OkoaBandarizetu.
Alaa! Ccm nyie kazi yenu kuwaza kuiba uchaguzi na kubaki madarakani ? Safali hii mtajua hamjui NO uchanguzi kusimamiwa na TAMISEMI.Tunahitaji chombo huru cha kusimamia uchaguzi
#Tumehuruyauchaguzi#KatibaMpya
Tutawapereka likizo isiyo na malipo
The Fascist Tanzanian Government continues to Force the Maasai People off their land to allow for trophy hunters to roam and kill wildlife that the Maasai and other indigenous people have protected up to this moment. @SuluhuSamia SHAME!!!!
#StopMaasaiEviction
@swahilitimes Ndio niliwahi kumshuhudia paka/ nyau wetu alipoanza kupata uchungu alikua akilia kwa mfululizo na kuhangaika kama anajinyonga nyonga alikua kitandan tukamtoa nje akazaa akiwa nje akawa na jitu linaninginia lilikatika lenyewe mtoto akambeba mdomoni
Leo #MariaSpaces tunajadili: Bandari na Katiba - je tutasubiri au tutaleta mabadiliko?
Tunaona suala la Bandari bado halieleweki huku tukichezewa shere na vitu kama baraza la mawaziri, Katiba tumeambiwa tunahitaji elimu miaka mitatu kwanza
Mabadiliko tuleta wenyewe?
Leo saa 2 uck