@assengajrr Sasa mimi nimekubishia nini mkuu, mimi point yangu ilikuwa 4 years ya elictrical engineering haiwezi kuwa kupoteza muda never, labda mhusika ndio uwe sehemu ya kupoteza muda.
Nafasi kutokutosha ni kweli
Tunahitaji maboresho ya mfumo wa elimu ndiyo.
@assengajrr Sasa hapa tuilamu elimu au mhusika? Uwajibikaji always una pande mbili, na upande mmoja wapo ni wa mhusika, kwasababu hata usome kwenye chuo bora vipi duniani, kama mhusika hujataka kuwajibika na kutumia elimimu yako ni kazi bure, unakubaliana na mimi??
It is so INTERESTING kuwa sasa watu waliosomea TAALUMA zao wenye Degree na GPA nzuri wanatengeneza CONTENT kwenye TAALUMA zao
Maana nyuma ilikua upotoshaji mtupu
S/o to
➙ @uchebeboost na Cleophance kwenye SHERIA na @LuhambaI japo amefocus na corporates sana
➙Captain Brian kwenye AVIATION
➙ Dr Noel kwenye AFYA
➙ @IamMagodaJr kwenye ELIMU
Iwe challenge kwako wewe umesoma Logistics, Finance,Statistics,Archaeology, Philosophy, Mwalimu, nk
Unaweza anza kwa kuSHARE unachojua kwenye TAALUMA yako
Nchi yetu bado ina UHABA wa CONTENT mtu asikuhadae eti “KILA MTU ni CONTENT CREATOR” ni maneno ya Loosers tu hayo na watu hawataki uwe VISIBLE ONLINE.
@assengajrr Moduli gani hizo unatikiwa ucopy na kupaste, na wewe mawazo yako yalikuwa ni nini kama ungepata nafasi ya kubadili mitaala ya chuo, elimu iweje?
Nakuombea utoboe mitandaoni na uweze kusaidia vijana wengi zaidi.
Btw, Ahsante kwa kushare na kuwaleta wengine kujifunza zaidi.
Sisi ADUI yetu ni 1 tu, UMASIKINI.
🫡