Story time.
JAMBAZI FIDI NA WENZAKE
Fidi ni mtoto wa pili kati ya watoto wawili wa Mzee Shomari. Mtoto wa kwanza akiwa anaitwa Jumbe. Fidi alisoma mpaka darasa la saba na matokeo yake yakawa mabaya sana kutokana na tabia mbaya ya utomvu wa nidhamu alipokuwa shuleni....
@VodacomTanzania Nawaahidi vifurushi vyangu vikisha sitanunua tena. Bora nihamie mtandao mwingine. Sms haziendi wala simu haziendi na hili tatizo limeshatokea zaidi ya mara tano
@VodacomTanzania@itshildat Hili tatizo la kutuma msg sio mara moja wala mara mbili ni zaidi ya mara tano sasa. Ni muda sasa wa kuhamia mitandao mingine. Naona mmetuzoea ๐ฎ๐ฎ