@mangekimambi Mpumbavu wewe, vijana wanaofuata mkumbo unaweza ukawafanya wafe kila siku. Kama kweli Kuna harakati wekeni strategies za kweli sio kutoa vijana chambo kila siku huku nyinyi mkikaa nyuma nyuma kama matako. Najua itakuuma hii
Tulikuwa tunakula pamoja โ lakini hakukuwa na updates za kutwa. Ni ligi mchakamchaka, na ukizubaa unakuta msosi umeisha. Spoiled kids kama Lubasha hamuwezi elewa.