#OnThisDay in 2โฃ0โฃ1โฃ9โฃ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly ๐น๐ฟ
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends โค๏ธ๐ค
Kuna namna Toxic Feminist tukiwaendekeza watatuletea Dunia ya wanawake inayochukia wanaume, Pichani ni mchezaji Jean Mateta akifanyiwa Interview, kwa furaha ya ushindi alijikuta anamkumbatia Mtangazaji Olivia wa TNT. Baya kuliko Feminist wameanza kumshawishi Olivia afungue kesi ya Kudhalilishwa kushikwa bila ridhaa yake. Zuri kuliko Olivia amesema ni jambo la kawaida haoni shida kukumbatiwa kwa furaha kama vile, najiuliza tu ni mara ngapi wadada wanatukumbatia wanaume tena anakuja anakimbia Alex Waooh, Waooh, na hatujawahi kuhisi ni udhalilishaji, ila ukimkumbatia mwanamke Feminist wanachora mstari wa GBV.
Feminist ni mbwa โ๏ธ
If Iโm having a tough conversation with you, itโs because I want you in my life and want you to tighten up so I can keep you in it. Iโm not attacking you.
Wanetu wa PCB walikuwa wanasoma sana kiasi kwamba ukipita kwenye madarasa yao kelele pekee utayoisikia ni madaftari yakifunguliwa kiufupi maisha yao walihamishia darasani.
Muda huo sisi HGE tunabishana kati ya mond na ali kiba nani msanii mkubwa๐
NB:Wote tulipata division one
Kipindi Bwana Johannes Rebmann
Anatoka Germany Mwaka 1861 hadi Moshi na Kugundua mlima kilimanjaro
Wakina swai, shirima, masawe, mama manka..
Walikua wapi๐ค
au ndo walikua bize na mbege