Usimfanishe PAC na Mcee yeyote Bongo…kwanza ilo toa!!!
Alafu pili, sijabisha kwamba kwenye Rap Skillz hakuna waliomzidi sikatai walikuwepo na wapo…hata Biggie Smalls; kuna watu wanaamini Late Big L alimu-inspire Biggie Smalls the flowing style 👊🏿…
Ninachobishania apa ni baadhi yenu kumfanya Pac aonekane kama wa kawaida sana kumamake wakati wote mnajua PAC noma!!!!
Ninaposema asifananishwe na msanii yoyote Bongo kwasababu:
1. Maudhui aliyokua anayawasilisha ni tofauti na maudhui yetu kuanzia uhalisia wa maisha ya watu weusi wa mbele na sisi Watanzania.
2. Lugha sio chanzo; kwasababu UJUMBE unaowasilishwa kwa HADHIRA husika hata kama ni kilugha ngeni haijawahi kuwa tatizo…
3. Not Persona Preference at all but the DIFFERENCE in all aspects za Tanzanian Hip Hop Music na ya Mbele ndio nimechukulia ilo…
Sugu alipokua anachana: “Nipo Mikononi Mwa Polisi” system ya Bongo was total different na Ice Cube alipokua anaimba: “FUCK POLICE” akiwa LA …sijui umenielewa PLAYER?!!!
Hao Marapper wakali na Ma-Emcee wenyewe watakuja watakwenda ila PAC adi Andre$20True atamzungumzia….😂
Anyways tuheshimu mawazo ya wengine ila sio lazima tukubaliane nayo!!!!
Kwangu mimi PAC ndio kama tunasema FACE OF HIPHOP na itabaki ivyo milele….💯, NO CAP!!!!🧢