@SamburaGoodluck@kasesco_tz Hesabu za vijana hizi kuishi maisha yasiyo ya kwao, huwa huanzi kuwa na watoto 2 na mke paaap, Kuna kipindi ulikuwa alone kabla yao uliwekaje mipango sawa na zile ulizokuwa unapata. Mapato ya 2(2m) angalau inafaa kuwa kodi 150k per month, vinginevyo anachezea hela kwa fake life
@ItsKamala@ProLearner77 Ila Wajeruman walikuwa wajanja sana sehemu nyingi mito ndio mipaka hata mto Kagera, Rwanda yote umetumika kama border ukaenda mpaka Mulongo (ukatumika kama mpaka wa Tz/Uganda, mara paap ukaingia kidogo mpaka Kyaka ukawa wote wetu alafu huo ukarudi tena Uganda kumwaga maji ziwani)
@ShaymarShahame3@HalimaYusuf_N Enzi zangu ningepokea taarifa kwa mshituko, though nilikuwa najitahidi kusoma ila kuna zile few weeks za kuweka mambo sawa. Ila uzuri wa unaweza ukajiona kama hujapiga final touches vizuri lakini likija swali unashangaa kumbukumbu inakuja na mambo yanaenda poa
Kachumba kamoja bus hata 10 na mbaya zaidi wanakuwa mawakala tu kwenye vyumba zaidi ya vitatu...kuna kampuni hazijulikani hata main office ni wapi ukienda stand kiasi hata ikitokea changamoto pa kuanzia ni shida.
@swahilitimes Walikuwa wapi mpaka zikajengwa maana raia tu akianza kujenga tu kwenye kiwanja chake cha halali kabisa, ukuta upo nusu anakutana na maandishi ya SIMAMISHA UJENZI WASILISHA KIBALI. Zile ni ofisi kutokana na ujenzi wa stand nyingi kutokuwa na ofisi za kutosha.
@SalimuIbwe@Aloycemsaki Hayo ni makosa mawili tofauti na ungekutwa na indicator haifanyi kazi ungepigwa na kosa la 3 la ubovu wa gari...huwa sometimes huwa wanakuandikia kosa moja mengine wanasamehe ila wananzengo wamefanya ni sheria kwamba huwezi kuandikiwa makosa matatu
@zed_ogtz Hii ya kuambiana pembeni ndio imetufanya kuwa na kizazi cha machawa (unafiki) maana unamfichia aibu mkosaji...dereva mmoja akipoteza maisha watu mnaona anaonewa, ilai raia wengi wanaopoteza maisha Kwa ajali za uzembe yenyewe ni sawa?
@NachiwaMohamed@Royaltv_plus Hata kama mtu hajasoma, kwa logic tu inaeleweka tar 4 aliyoweka Nchimbi ni kutoa "notice" kwamba hatokuwa Makamu, waanze mchakato wa kumtafuta Makamu mwingine na hatua za makabidhiano na Rais akaridhia kupitia Katibu Mkuu kiongozi na biashara ya Ustaafu ikaanzia hapo
@JohnGunga@Royaltv_plus Hajui alichofanya Nchimbi ni kama kutoa "notice" kwa kuwa Kwa nafasi yake huwezi ukaandika barua Leo tu alafu kesho unaondoka ofisini na mkuu wake amesharidhia kupitia Katibu Mkuu kiongozi hivyo officially ni mstaafu rasmi.
@masuba___@TitoMagoti Shida media zetu, ndege imewashusha Watz 150+ ila wanawahoji wale "wana wapotevu"....ingekuwa BBC ndo wanawahoji lazima tungeambiwa wanazua taharuki na taarifa kwa umma ingetoka..wamerudi wengine wana familia zao na walikuwa vizuri tu
@Galuskelvin@MkulimaKante Ila kupitia google map mtu unapata aerial view ya eneo lote mpaka upande usioonekana, sijui wanaogopa nini mtu anapiga picha tena unaonekana upande mmoja na sio wote kutokana na position ya mpiga picha wakati google wana picha kabla na baada ya jengo na hatua zote za ujenzi
@athuman_mkuu@mshambuliaji Set up ya Simba ya uongozi kuelewa inahitaji nguvu ya ziada maana Mangungu yupo kwa wenye timu (51%) alafu wakati huo huo anakuwa makamu kwenye bodi (49%) wakati huo huo wenye 49% wana nguvu ya kutoa taarifa kwa umma kwa kutumia nembo ya Simba
@ItsKamala Nadhani aina tofauti ya kahawa,alafu kaskazini inalimwa na wananzengo na wawekezaji wakubwa pia wenye taarifa za soko la kimataifa hivyo inakuwa ngumu kuwapiga wananchi, hata ilivyoshuka sana 2003 kilio kilikuwa kikubwa Kagera kuliko Kaskazini (ajabu Uganda bei ilikuwa nzuri)
@chapo255 Ni Yale yale ya kila mwaka ya wiki ya nenda kwa usalama ambapo mlikuwa mnakaguliwa alafu unabandika sticker kwenye kipo (japokuwa ilikuwa ugaguzi kama haufanyiki ni kununua sticker)....sasa hivi unafanya online alafu unapeleka gari kisha wana tick kwenye mfumo