Last year I was invited speak at Flint Hill School's commencement ceremony for the class of 2025 as part of my speech I made some comments on creative thinking and execution.
If you are early (or late) in your career and actually want someone to notice your work you absolutely need to start thinking creatively and combine that with achieving a result. It is the best way to build a career.
And if you want to see the rest of this speech which includes several references to the NBA, a bit of my personal history and a little (I would say legit) stand-up comedy, see the next post for the link
Wakuu zingatieni hili @AzamPesa maono yao ni kujenga pochi ya pesa ya simu kwa mtanzania wa kawaida.
Hii ni kuonesha jinsi gani hawa jamaa sio wabinafsi hawajifikirii wao tu wanawasikiliza na wateja kwa kuangalia wateja wanahitaji nini na kuwatimizia matumaini yao.
Ni muda sasa kama huna @AzamPesa hadi muda huu ujitathimini.
Safi kabisa,,,
@MkulimaKante@AzamPesa Asante kaka! Maono yetu ni kujenga pochi ya pesa ya simu kwa Mtanzania wa kawaida kwa kusikiliza mahitaji na matumaini yao kwa makini. Tunawajenga wao, si wengine.
Narudia tena kukupa code ya kutoboa kwa mtaji mdogo tu.
Achana na kuwaza kufungua bar kubwa utajaza meza nyingi na viti ukose wateja.
Fungua liquor store uza ugimbi wa kila aina nje weka kijana mchoma kuku kama wale wa stendi ndani tafuta mhudumu mmoja pisi
Utafanikiwa tu๐
If you do merchant (lipa) payments regularly in Tanzania you need to open an @AzamPesa account, its a no brainer. There is a reason mobile money in Tanzania generates record profits year after year. That reason is you not selecting lower cost alternatives.
Ni jambo la akili. Huduma za mobile money hapa zinapata faida kubwa kila mwaka... kwa sababu bado unalipa ada kubwa badala ya kuchagua chaguo nafuu zaidi.
Acha kulipia zaidi. Badilisha kwa @AzamPesa leo na uweke zaidi ya pesa yako mkononi.
Nani mwingine amechoka na momo ghali? Weka kama unabadilisha! @RamadhaniRupia
@MkulimaKante@AzamPesa Azampesa unatuma bure kwenda mitandao yote, unalipia kwenye lipa namba zote mfano elfu kumi kwenye lipa ni 250 laki tatu unalipa kwa elfu 1 tu
@RamadhaniRupia@Mwlmp123@MkulimaKante Kwa upande wa kutuma pesa kutoka huduma zingine kuja @AzamPesa Makato yapo upande wao, kikubwa ni kwamba utakapotuma kuja @azampesa utaweza kufurahia unafuu wa kufanya miamala kiufupi utakua umejiokoa na MAKATO!
Cha muhimu hapa ni HATUNA MAKATO! Kutuma BURE! Kufanya malipo BURE! Wateja wetu wanaokoa maelfu kila wiki na kila mwezi kwenye miamala BILA MAKATO! Kila muamala unaongeza hela mfukoni kwako! ๐ซต
@MkulimaKante@AzamPesa@MkulimaKante Mteja wa kawaida kwenye Azampesa anaokoa TZS 8,500 kwa mwezi. P2P kwa mtandao wowote - BURE. Malipo ya luku - BURE, malipo ya serikali BURE, lipa Bill - BURE, gharama za chini kabisa kwa lipa hapa. Keep your current SIM.
@MkulimaKante@AzamPesa Katika kitu nimenufaika kupitia AzamPesa ni kwamba nikinunua kifurushi cha kisimbuzi kupitia @AzamPesa (28,000) napewa kifurushi cha juu yake.