@MkulimaKante@AzamPesa Katika kitu nimenufaika kupitia AzamPesa ni kwamba nikinunua kifurushi cha kisimbuzi kupitia @AzamPesa (28,000) napewa kifurushi cha juu yake.
@MkulimaKante@AzamPesa Katika kitu nimenufaika kupitia AzamPesa ni kwamba nikinunua kifurushi cha kisimbuzi kupitia @AzamPesa (28,000) napewa kifurushi cha juu yake.
@Wvlter77@fredkavishe Umesema kama katika orodha Dodoma haijatajwa takwinu ni batili! Kama kweli umetembea hii nchi basi Dodoma haukutakiwa kuipigia chapuo kabisa mkuu.
@Skinny36479503@assengajrr Usibishe kaka ukweli hausemwi kuendesha media sio mchezo pale kwanza unaambiwa kabisa tunakufungulia Dunia so kama hupambani kupata michongo ya nje pale hata mwezi humalizi.
@francismtey@Psiteshio1 Kama una shida na cupcut pro kwanini usilipie gharama haizidi elfu 6. Ila sharti ukitaka uendelee kulipia elfu sita ni kila mwezi uwe una create email mpya la sivyo elfu 28000 itakuhusu
@DaveConscious Hii biashara ni nzuri ila ina stress sana hasa vijana wa kuosha aisee watakutesa mno, kingine ni suala la maji ukitaka upate ahueni chimba kisima hapo utakuwa ume win.
@Ponge_Bromine@francismtey Vijana wa K/koo ndo wanauzia kwenye maduka ya Haisensi au maana mimi nimenunua soundbar katika maduka yao pamoja na Tv 58 inch