๐๐๐ฌ๐ฎ ๐๐ฎ๐ ๐๐ ๐๐๐ค๐ข ๐๐ฐ๐๐ง๐ณ๐จ ๐๐ ๐๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฉ๐ฒ๐ ๐ โช๏ธ๐๐ ๐๐ฌ ๐๐ข๐ฌ๐๐ง ๐ฃ
Katika msimu huu wa matumaini na upendo, Uongozi wa @dexter_insurance Unapenda Kukutakia Wewe pamoja na familia yako, amani, afya njema na baraka tele.
Tunakutakia Pasaka njema
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ ๐๐พ
October , A month of new blessings and opportunities #njiainatoa na @dexter_insurance
#october #october2024 #2024njiainatoa na Wote Tuseme Amen ๐๐พ
https://t.co/VIBi4jYsCN
@sajo_mwaihabi@Dexter_insure yupo vizuri jamaa. nakata bima kwake tangu 2017 niliunganishwa na jamaa mmoja Team Alteza watoto wa town enzi hizo. Hadi leo nimekua mteja wake. He is good. Ninapendekeza kwa yoyote anayetaka huduma ya Bima basi @Dexter_insure ni suluhisho lake
Mwaka huo huo 2019, alifanikiwa kusajili DEXTER INSURANCE AGENCY, na mwaka 2020 alifanikiwa kufungua ofisi yake maeneo ya Mbezi ya chini.
Sasa nikamuuliza "Nini maana ya Dexter" ndo alinisanua Kumbe Dexter ilitokana na plate no ya gari yake (Altezza) ilikuwa T---DEX.
Kutokana na hayo aliyopitia yamempa jamaa mafanikio makubwa sana. Jamaa kashinda tuzo za kuwa BEST BROKER in SALES from 2019-2023.
Pia alipewa tuzo ya YOUNG CEO OF THE YEAR 2023.
Pamoja na changamoto zoote hizo, hakuzungatia hizo bali ALIFOCUS na DESTINY yake.
Ingawa haikuwa jambo jepesi kwake, ilikuwa ni kesi nzito sana. Lakini ilikuwa akifikiria tu kuhusu hatma ya Agency yake alipata nguvu ya kuitetea na kuipambania kufa, kupona!
Sasa pale ndipo alifanikiwa kupenyeza issue ya 24/7 na BIMA CHAP CHAP & BIMA MTANDAO.
Dexter HAKUFIKIRIA kuhusu anguko lake kama wengine ambavyo tulifikiria, MENTOR wake alimsihi sana kuwa afikirie zaidi KUKUZA SOKO KUPITIA TREND HIYO.
Pale ndipo ambapo matokeo yalianza kuonekana kwa ukubwa na alijulikana kwa uharaka na alipata wateja wengi sana!
Huyu ni jamaangu anaitwa Dexter (@Dexter_insure) before sijaupandisha uzi huu niliomba ridhaa kwake ya kushare kidogo stori muhimu ya kujifunza kupambana UHAI UKIWA KTK PUNZI YA MWISHO YA MAPAMBANO!
๐๐พ Nashukuru kwa kunikubalia.
MORAL OF THE STORY:-
Katika stori hii fupi Kuna mambo ya msingi ya kujifunza.
1. Changamoto hata iwe ngumu kiasi gani, shikilia MAONO yako kufa kupona.
2. Changamoto inaweza kuwa PLATFORM ya wewe kukuletea mafanikio zaidi.
3. MENTORS ni watu muhimu sana ktk Maisha yetu.
-END-