Hebu fikiria.
Unasafiri peke yako katikati ya Jangwa la Sahara, Morocco.
Gari lako linagonga jiwe kubwa, linaharibika vibaya.
Uko umbali wa zaidi ya kilomita 30 mpaka 50 kutoka mji wa karibu.
Hiii ilikuwa ni mwaka 1993 β hakuna simu ya mkononi, hakuna GPS, hakuna msaada unaokuja.
Hivi ndivyo Emile Leray alivyopambana na kifo.
Thread π§΅
@mendeboyy@OffsideGhost Me pia sikuelewa ila alimwaga dawa pale tukaona vitu ambavyo kwa macho ya nyama huwezi kuona ila tuliona live mkono wa mtu ukiwa umebaki mifupa mitupu
@OffsideGhost Anatumia mkono wa mtu kugeuza wale samaki eeehhh yule mzee akatufungua macho watu wote pale tukaona kinachoendelea ilkuwa noma mapaka polis walikuja kutuliza ghasia
@OffsideGhost Miaka kama kumi na tano iliyopita kulikuwa na mama mmoja kule iringa alikuwa anauza samaki mshindo opposite na kanisa la roman katoliki tumeloshwa sana zile samaki na mshua sasa day one tupo hapo tunasubiri samaki alikuja mshua mmoja akamwambia acha hiyo tabia akajiwasha kumbe
@kaji_sijo Cia ni vile tu wanatokea America ila kuna team hao cia hawagusi kama mossad, mi6,na fsb achana wa suti nyeusi zinazoshinda vijiwe vya kahawa
@willyungilise@Phbhimself Kuna mstari kwenye kitabu cha Dan brown Mary Magdalena alipotembelewa na bikira Maria alisema inakuwaje mama wa bwana wangu anineneee hivi na kichanga kikaruka tumbon mwake wanadai huo ndo uzao wa Yesu sasa