Ni sawa kuwa na mitazamo/mawazo/itikadi na vyama tofautiโฆ.
hii ni sawa kabisa wala haina shida!!โ
Lakini kuna mambo hatupaswi kuwa tofauti, tunapaswa wote kuwa na mtazamo mmoja unaofanana!!!
Masuala ya Human Rightsโฆ.
Hasa โHAKI YA MTU KUISHIโ
Hii haipaswi kuwa na uChadema wala uCCM wala uislam na ukatoliki!!
Haiwezekani watu wanauliwa halafu sisi tunakemea mauaji hayo then wewe hukemei unaona sawa tu na unasema sio lazima tufanane mitazamo na mawazo!!
Yani wewe mtazamo wako ni sawa watu wauliwe??
Lazima tutakupinga tu kwasababu huo mtazamo wako haukubaliki na makundi yote duniani!!
Mtu kuuliwa
-Haikubaliki na waislamu
-Haikubaliki na wakristo
-Haikubaliki kisheria za nchi
-Haikubaliki kisera na ilani za vyama vyote
-Haikubaliki kitamaduni na mila zetu
-Haikubaliki katika amri 10 za Mungu
-Haikubaliki katika katiba
Sasa makundi yote haya yanakataa kwa pamoja, maana yake yote yana mtazamo mmoja unaofanana katika hiliโฆ..
Wewe ambaye bado unasema tusifanane mitazamo, ni unapingana na makundi yote hayaโฆโฆhuoni kama wewe ni tatizo kuwa tofauti na makundi yote duniani!!
Ndio maana tunakupinga, tutakubali kutofautiana katika agenda zingine, lakini sio hii inayohusu Uhai wa binadamu mwenzetu!!
@Sativa255 ni mdau wa muziki niliacha kuskiliza radio baada ya kuona nyimbo zinazopigwa ni za watu wanotaka wao sio wenye vipaji vya kweli na wenye music mzuri sasa miaka 10 +