Best Phone Dealers๐ฒ Delivery๐ Over Tz & E.A Countries. Shop๐ With Us Today For Affordable Price. For Digital & Smart Business Order Now Click๐
@julip202 Hapo Madhara ya nyeto yanatofautiana mara 2 .
1. Anayepiga kavu bila kuangalia Porn ...huyu madhara yake yatakuwa madogo na anaweza kustahimili tendo.
2. Nyeto na porn ...hali itakuwa mbaya mara dufu , Mzigo utakuwa lege lege , kimoja chali ,ukimaliza haurudi nk hii mbaya mno
@miss__yanga Kwa maana hiyo kwa hilo ni bao halali ...na hata ingekuwa mshambuliaji amebaki na kipa alafu kipa kaanzisha mpira kwa beki wake alafu beki akarudisha backpass ukakutana na mshambuliaji ambaye yupo eneo la kuotea atachukua mpira akifunga ni bao halali
@miss__yanga Na hata ikitokea wakati movement imeanzishwa upo onside lakini ukapigwa mpira mshambuliaji akiwa kwwnye nafasi ya kuotea na mpira ukamgonga beki ukamkuta mshambuliaji akafunga ni bao halali maan pasi imetoka kwa mpinzani ...ila ukihusika kumfanya beki augonge mpira ni offside
Ateba amechukua nafasi yake.
Hapo vipi wana Simba ?
.
.
Kwa mahitaji ya simu kali na kijanja watafute & follow @kisi_mobilestore wapo Kariakoo Agrey jengo la Dubai plaza /piga sasa ๐ 0628210865 .
.
.
.
#kisidigital#kisi_mobilestore#kisimobilestore#habarizamichezo
THANK YOU FRED MICHAEL KOUBLAN....
Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmedi Ali amethibitisha kuwa klabu hiyo imeachana na mshambuliaji Fred Michael ambapo amesema Kocha wa Simba hajaridhishwa na kiwango chake hivyo mshambuliaji mpya Christian #yangasc1935#tumewas
ni moja ya wachezaji waliofunga hii leo .
Je, Unamuona Mutale kufanya vizuri na Simba ikiwa pancha zimeanza?
.
.
.
.
Kwa mahitaji ya simu kali na kijanja watafute & follow @kisi_mobilestore wapo Kariakoo Agrey jengo la Dubai plaza /piga sasa ๐ 0628210865 .
.
.
.
#kisidigital
Picha i ni mchezaji mpya wa Simba Joshua Mutale ,leo alishindwa kumaliza mchezo dhidi ya Tabora alitolewa kwa kupata majeraha.
Ni usajiri mpya kutoka kule Zambia .
Licha ya Mutale kuto kumaliza mchezo lakini Simba Sc wameshinda mchezo kwa bao 3-0 , Chemalone na Awesu Awesu
watawashikisha adabu Young Africans lakini baada ya mchezo wamejikuta wakichezea kipigo cha bao 4-0.
Vital O bado wanakabiliwa na mechi ya mkondo wa pili dhudi ya Yanga ambapo Mchezo utapigwa katika Dimba la Benjamini Mkapa wiki ijayo .
Je , ! Itakuaje ??
Young Africans imemshushia kipigo kizito Vital 'O ya Burundi cha mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza wa round ya Awali ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Kabla ya mechi hii msemaji wa Vital O ya alisikika akiongea na kujinadi kwenye Vyombo mbali mbali vya habari kuwa
Klabu ya Yanga itashuka dimbani leo kukabiliana na Vital O kutoka kule nchini Burundi .
Mchezo utapigwa Chamazi Azam Complex kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni .
Katika mchezo mwingine Coastal Union itaingia dimbani kumenyana na Fc Bravo kutoka kule nchini Angola .Saa 12 :pm
baada ya Kuhitaji mshambuliaji mpya ikiwa Fred Michael Coublan akionekana sio Chaguo lake la uhakika kwenye kikosi .
.
.
.
.
Kwa mahitaji ya simu kali na kijanja watafute & follow @kisi_mobilestore wapo Kariakoo Agrey jengo la Dubai plaza /piga sasa ๐ 0628210865 .
Simba imemtambulisha mshambuliaji mpya wa Kimataifa kutoka Cameroon aliyekuwa anakipiga nchini Algeria katika klabu ya USMA .
Mshambuliaji huyo anae enda kwa jina la Lionel Ateba amesaini mkataba wa miaka 2 kutumikia Simba ikiwa ni pendekezo la Mwalimu Fredru Davies
.
.
.