@OfficialMkapa Hizi huwa zinatumwa ili uanze kubembeleza upya anatuma then anasubiri your reaction jibu sahihi hapo ni ukimya na huwa unawatesa sana hawa watu
@SharonMontana20@Mwinshehe07 Hakuna mzazi anayetaka kidogo kwa mwanae kila mzazi anapenda mwanae apate kikubwa so kama hakuna pesa ya kiwanja tushindwe kufurahia hata kwa kidogo kilichopo?? Kwanza nyumba gani inajengwa 18 years Kama sio kuharibu pesa ๐ฎ