@HildaNewton21 Yaani ni hivi, Lema na walamba asali wenzie wote walioko ndani ya Chadema wanamuona Heche kama kizingiti cha wao kupewa buyu lote la asali na mafisiemu, kwani bila Chadema hakuna maridhiano ya kweli na Heche msimamo wake uko thabiti hataki asali anataka haki.
@Sativa255 Sasa nasema hivi. Kama MUNGU muumba wa mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visiyoonekana. Atauweka wazi unafiki, utapeli na udhalimu wake wote wa Lema siku si nyingi asipo tubu na kukaa kimya.