@mbiti_mwondi My barber akimaliza kuninyoa ,huwa anachukua thermos flask iko na maji moto , kudip kitambaa ndani alaf anairusha kwa kichwa yangu natoka nikitoa moshi and five times wiser.
@Dendricck Buana umeingia na 3k yako polite hata hauna ngori na mtu alaf unaanza kuitwa broke, coz hauezi nunua Martell utumbukize Iphone 17 pro max plus ndani π
@asspressso Nlikuwa addicted to betting like kila siku napiga analysis ya games and placing even 3 bets at a go. Reached some point nikasema sifanyi hii kitu tena and that was it.
@Chelaa_03 Two of my homies walienda huko na hawataki kurudi kabisa, one was even telling me nihamie huko and the thought of going back home will never cross my mind again