Anza siku na Dakika 9 za ASKOFU BANGONZA.๐๐ฟ
Hii ndio tafsiri ya kuwa kiongozi wa KIROHO.
Tungekuwa na viongozi wa dini kama hawa hata watano hii nchi ingekuwa imekombolewa kitambo.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
@English_snow2@AbroadTanzania Unachokijuw ni kuita watu dogo chaajbu hunjuw,skia sasa English proficiency is generally higher relative to China, with Tanzania ranked 72nd out of 116,china 91st out of 116,
Stupid is as stupid does
Humu ndan kuna watu wajinga sana,hivi unamuamini vipi jamaa wa praise and worship ๐ค๐คmtu anajiachia na kujichekesha kabsa pale๐ฅน๐ฅน,yule ni sehem ya kanisa cha ajabu analisema kanisa anawasema viongozi, waandamiz wenzie ila hata kanisa halimfany chcht ,
TUTAKUWEPO