@FaradayMtz01 Kiongozi Mimi nazani inatakiwa atengeneze future ya taifa,,,na sio kujenga wakati aliopo yeye,,,ukijenga wakati aliopo wewe na ukasahau kuweka misingi ya kukusaidia taifa ukiwa haupo,,hapo work done ni zero,,,so magufuli work done ni zero
@EsirEid Ivi inatokeaje MTU anabisha Tu!!kama ndo wamewaletea theory mkazisoma kwamba kuna safari name mkaamini,,,kwamba mwezini Amna gravity mkaamini,,,kwamba mwezini uko umbali flani na dunia mkaamini sasa hili unabisha kwa vigezo gani