@bigirwaMulokoz @millardayo Kwanza Kwenye Hizo Ofisi Zao Unaweza Kuta Hata Machoko 3 yanafanya Kazi ni Vipaumbele vyao! :::MikopoYaMashart Hiv baadae Taifa Lote linajaa Machoko
@zittokabwe@IsdoreSankarah@yangasc1935@IamFeisalSalum Mh. Zito acha Haki ifanye kazi yake hata kama ni chungu… na Mwiko kuibatilisha haki kwa Huruma… kuna siku itatupa madhara Makubwa..! Naamin ww ni Mfuasi mkubwa wa HAKI.
Happy Birthday Ankol!🎂shabycantona
May Allh bless You Unconditional.. Keep spreading Your Love and goodheartedness.
You are Good Person Mjomba.. For that Allah atakulipa Hapa Dunian Na… https://t.co/U1FTbdm92A
@PetriderPaul@tanpol@WizaraMNN Hata Mm nilishasahau Kipochi chenye passport na pesa USD 2000 na Mfuko wa zawad nilizonunua dutyfree dubai! Nilivipata vyote vikiwa Salama! Mungu aendelee kuwabarik waungwana wa Pale JNIA.
Congrats My Queen princessyusrah for Ths big Result! I'm so Proud ... Allah Akujaalie Elimu Bora ( Dunia Na Akhera ) ...
Ile seleka ya Kukupeleka na Kukufata Daily.. It Paid Off kwa kwel!… https://t.co/b7EGwRioFS
@HKigwangalla Dah! Muheshimiwa mmewapiga picha wazima hivi! Mngewakata hata Mikono mkasema kwenye pulukushani za kuumuwa Twiga wetu naye aliwala Mikono. Ilimradi tuonekane tumefanya Jambo! Hawa watu si wakuwachekea na kuwapiga picha kwama wametoka shamba kuvuna! 😠
@Chriss104@jmkikwete Wizi na Dhuluma ipi ndugu? Dah wew ndyo wale wanaowakilisha kundi la 'WATU' na sio BIN'ADAM...
Huyu Mzee @jmkikwete amejaaliwa kila Haina Ya Huruma na 'Aya' ndy Maan Leo wa Tz wanalia!!
@JMakamba Kheri Ya kuzaliwa Mh.! Wew ni kiongozi wa mfano kuanzia maisha unayoishi had maneno unayotoa. Naamini na namuomba allah siku moja uje kuongoza Taifa Hili. Nakumbuka nilivyokuja kwako na kupata elimu tosha.. na nilivyongea na wew pale starTimes 2014. #HBD
SAW: “I swear by the One in whose hand is my soul! If you did not commit sins, Allah would have surely gotten rid of all of you, and He would have surely brought another people who would commit sins so that they would then seek Allah’s forgiveness and so He would forgive them.”