Almighty. Protect us from those who are trying to harm us & have bad intentions towards us. Purify our hearts & fill it with love & goodness. You are indeed our refuge & strength. Surround us with those who will empower us. May You always be our Guide. Keep watching over us.
@HecheJohn Heche kwanini mna penda kuwapangia watu wa vyama vingine wafate sera na mitazamo yetu ya kichadema? Waacheni wafanye siasa zao kwa huru kama ambavyo na wao hawatuingilii sisi. Ulitaka na vyama vingine visiudhulie mkutano wa leo kwa sisi tumegoma?
@zittokabwe Hiki ndio chama....Full mipango. Kina fukuza mwizi kimya kimya. Hakika MWAMI unapaswa upewe maua yako mapema sana....ACT-Wazalendo mna nafasi kubwa sana ya kuchukua dolla Zanzibar na Bunge la Muungano
@HecheJohn Nimesikitika sana na kauli za Lissu zidi ya Mama Samia. Hivi kwanini ana shindwa kuwa na lugha za staha,ukiachilia mbali Mama Samia kuwa Rais pia ni mzazi,Mama,Bibi. Mbona @ACT_wazalendo1 hawana siasa za kutukana kama Sisi Chadema?
@zittokabwe Zitto chama chako kina mawazo chanya sana juu ya Tanzania Mpya kwanini msiwasilishe mawazo kama aya kwa Mama Samia, Maana Bungeni hayawezi fanyiwa kazi ila Mama Samia akipeleka Bungeni yana fanyiwa kazi. Maana Bunge lina angalia ajenda aliyoleta Mama samia na kupitisha tu
@mdudechadematz @SuluhuSamia Mbona hili suala la hii MoU lipo wazi wadau? Hakuna sehemu ambayo imesema huwezi kujitoa. Kwanza kilicho adhimiwa ni kuruhusu Serikali kuendelea na majadiliano na DP world. Mikataba bado sana. Tuwape muda aisee
@MsigwaGerson Msigwa nashukuru sana kwa ile Clip ya @zittokabwe ile ndio imekuwa turning point yangu kuhusu hili suala la Bandari. Mwami aliliweka kitaalam sana kwa ufafanuzi.