@msaka_Daily Ukimuzoesha hiyo side moja tu ya maisha siku ikitokea hela ya kupata hivo vitu haipo itakuaje?
Mfundishe Binti yako uhalisia wa maisha kupata/kukosa
Mfundishe awe na clear conscience kwa kila achokifanya.
Mfundishe wema na ubaya na uhakikishe anaelewa
Mengine mwachie Mungu.
@Njamasi__ Mpigie baba mkwe wako ongea nae kiume
Mwambie unamshukuru sana kwa kuruhusu mke wake awe hapo kwako wakati ulipohitaji usaidizi
Then mwambie mambo yapo vizuri hata mama mkwe anaweza kurudi tu nyumbani bila shaka utakua umemkumbuka atakuelewa.
@zed_ogtz Tatizo haangaliii fact za ukweli yeye anawaza tukio la kihisi kualika rafiki zake wafurahi
Anachosahau ni kwamba anamuexpose mume wake kwa marafiki zake ambao lazima Kuna mmoja au wawili watakua wanampenda kimya
Mwandishi nguli wa habari na mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Sammy Awami, ameibua mjadala mzito kufuatia ajali mbaya ya helikopta iliyogharimu maisha ya mfanyabiashara na bilionea tata wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, akieleza kuwa kifo hicho kimeacha maswali mengi tata yasiyo na majibu na siri nzito za kiuchumi na kisiasa barani Afrika.
Kupitia video aliyoichapisha kwenye mitandao yake ya kijamii jana Oktoba 1, 2026, Awami amechambua ajali hiyo ya angani iliyotokea Marondera na kuua jumla ya watu sita wakiwemo Chivayo, mke wake, na watu wengine wane huku akibainisha kuwa ingawa kuna nadharia mbalimbali zinazosambaa, ukweli ni kwamba mfanyabiashara huyo ameondoka na siri nzito.
"Binafsi nadhani ni ajali, hasa hizi helikopta ambazo zimekuwa zikianguka sana. Lakini kikubwa ni kwamba kwa bahati mbaya Bwana Chivayo ameondoka na siri kubwa sana na maswali mengi bado hayajajibiwa. Alikuwa na uhusiano na viongozi hawa Afrika Mashariki na Afrika Kusini... biashara zake zilikuwa na utata mwingi, zikiwemo tenda za usambazaji wa vifaa vya umeme na vya kupigia kura," ameeleza Awami kwenye uchambuzi wake.
Awami ameongeza kuwa Chivayo alikuwa na mbinu za kipekee za kuonyesha ushawishi wa karibu na wakuu wa nchi mbalimbali barani Afrika kupitia picha na video zilizotanda mtandaoni ikiwemo video maarufu iliyomwonyesha Rais wa Kenya, William Ruto, akimwendesha kwenye gari wakati wa sherehe za mahari.
Mbali na nyanja za kisiasa na kibiashara ambazo zilikumbwa na utata na zabuni zenye ushindani mkubwa, Awami amebainisha kuwa msiba huo uliyoondoa maisha ya watu hao sita ni pigo kubwa mno kwa maelfu ya watu walionufaika na ukarimu wake wa kifedha, wakiwemo viongozi wa dini na wanakanisa waliokuwa wakipewa zawadi za magari ya kifahari.
Huyu Mwanadada Anashusha balaaa zitoo oya sio poa, my Brother bookmark hii uwe unaskiliza Mara kwa mara especially kama hujaoa au umeo mmeachana yaani kama upo single Bookmark hii.
@Adventure_36@McinikaWaLamar Wakati mwngine sio kila kitu lazima unchangie jamaa anawezà kua muongo kwenye vitu vingine ila kuhusu kufatuliwa hii kitu ipo sana medical school yoyotè aliyepita huko anajuà.