Wakenya (Wenye NCHI) wametoa siku 7 Kizza Besigye (Uganda) na Tundu Lissu (Tanzania) waachiwe huru.
Kinyume na hapo BALOZI za "Tanzania & Uganda" zilizopo Kenya watazifunga.
Huu ndio undugu-asanteni Familia.๐ฐ๐ช
REPOST 200
@Iam_Malunguja Tunaimba Sisi wana Wa Mwaseco tukisifu Shule yetu Nzuri sana
Shule iko kati ya jiji la mwanza Twapata hewa sagi toka ziwani kazi uhai hio ndio dhima yetu๐ถ๐ถ
@buddybungs@collinrumisha@KabangeLuqman@TBoundBuses Kwanza huduma Za kibinadamu hapo Magufuli Terminal si rafiki
Kuanzia Huduma za choo
Malazi
Na Usalama si rafiki kabisa ni bora tungebaki kwenye zile Hub zetu za Shekilango
Unapata Wifi
Kiyoyozi
Na usalama Bila Uchovu
Serikali Ituangalie kw hili
๐๐ฝ Sasa mlikuwa mnasema mi mzushi msikilizeni Mzee wetu mpendwa Warioba
Kuna mgawanyo ndani ya vyombo vya dola! Na hii ndo sababu wengine tumekuwa tukionya kila siku kuwa #SamiaMustGo
Ni mtu wa fitna na migawanyiko - pepo chafu - Mwuaji! A complete narcissistic psychopath
Hawezi kukiri au kutubu kitu na ataendeleza umwagaji damu! #D25 ndo njia sahihi ya kudai haki ๐ฅ
#NoJusticeNoPeace