@Rydx_017 Hiyo elfu 5 nakweka voucher na akatupiga maombi ya kutosha mimi na familia yangu na kunishukuru sana.
So nimeona hii video imenikumbusha mbali sana na kama umekutana na scenario kama hii tuwe tu na ubinadamu tupunguze tamaa na tuwe waaminifu.
Tupo pamoja
@Rydx_017 Baada ya muda nikasogea njia panda ya makabe na baada muda kidogo yule bwana akafika na kunambia mimi ni mtu muungwana sana maana hakuamini kilichotokea akataka kunilipa nkakataa na kumkabidhi simu yake.
Hakuridhika akaniomba nipokea ata kitu kidogo kama shukran akatoa elfu 5.
@Rydx_017 Kesho yake mwenye simu akanitafuta ni Mchungaji basi akanambia anaenda ibadani basi nkamuuliza anapatikana maeneo gani tukakubaliana tukutane petrol station mbezi njia ya goba nkafika pale nkamsubiri akachelewa na mimi kuna mahala nilikua naenda basi akaomba nivute subra kidogo.
@Rydx_017 Simu ya kwanza akapokea atukuelewana akakata nafikiri aliona labda ni matapeli, bado sikuchoka nkaendelea kupiga namba nyingine ndo akapokea bwana mmoja akijitambulisha kuwa yeye ni askari na yupo doria na mwenye hiyo simu ni jirani yake so asubuhi akirud kazini atamfahamisha.
@Rydx_017 Binafsi iliwahi kutokea mbezi mwisho nimeenda ATM ya NMB nkakuta smart phone techno kwenye mashine ya kutolea pesa basi nkachukua ile simu nkajishauri niwaachie wale maaskari nafsi ikakataa.
Basi nkaenda mpaka nyumbani nkaiweka kwenye charge na kuanza kupiga simu usiku huohuo.
@killo_killo11 Wasipofanya kazi tunawasema kua hawajishughulishi haya sasa mtu anapambana maneno tena ulitaka afanye kaz gan labda ? What if kama ni taaluma yake umefikiria hayo yote ? ?
@Mpandana_aloyce@jimymosha@ayubu_madenge Umemjibu vzur sana halafu kisomi yeye anafikiri tender wanagawa kama njugu ata hao wenye back up lazima wafuate taratibu za utoaji wa zabuni, halafu unakuta huyo ni msomi..