@Mzee_NYOKO Ni kweli Kibu alikuwa anaonyesha ishara ya kuwanyamazisha mashabiki wa Yanga. Baleke akamfuata kwa haraka akamtoa mkono mdomoni akijua kwa kufanya vile Kibu alikuwa anavunja sheria ambayo angeadhibiwa. Baleke alionyesha high level of maturity and professionalism
@Arafat__AH@yangasc1935@yangascprincess@Caamil8 Kwanza hongereni yanga kwa kufuzu hatua ya robo fainali lakini kwa kiongozi wa juu nadhani si sawasawa kuwa na kauli za namna hii. Mambo ya hivi mngewaachia kina Ally na Ahmesd pamoja na mashabiki.
@Jambotv_@HusseinBashe Wengi wasioelewa wanahoji kwa nini Serikali inatoa ruzuku na bei za vyakula bado zipo juu? Matokeo ya ruzuku yataonekana kuanzia mwezi March na kuendelea ambapo ndio msimu wa mavuno mpya unaanza.
@Jambotv_ Ni ngumu sana kumuelewa Mh. @HusseinBashe ikiwa ww si mkulima. Chakula tunachouza sasa ni mavuno ya msimu uliopita wakati mbolea ikiwa juu zaidi ya mwaka wowote (140 kwa 90 elfu). Ruzuku imepunguza bei karibia nusu ktk msimu huu, hivyo msimu huu wa mavuno bei zitapungua sana
@ItsMsoya@ExMayorUbungo Sawa kaka Imma, sasa umeshakopa na hela ipo kwako, je hiyo hela inahesabika ya nani? Ingekuwa ni msaada ingekuwa kitu kingine tofauti. Ww umekopa hela CRDB, ukaamua ujenge nyumba, je utakuwa unajenga kwa hela yako au si yako? Kumbuka pia si kila mtu/nchi ina sifa ya kukopesheka
@AllyHapi Hongera sana kaka Hapi, nilijua upo serious na kilimo lakini sikujua upo serious kwa kiwango hiki. Naona hapo unaandaa shamba. Hivi ndivyo shamba linapaswa kutengenezwa sasa. I envy you brother from Hall six
@ruwasatz Safi sana, huu si wakati wa wakandarasi janja janja. RUWASA inajitahidi kuwapa kazi wakandarasi wazawa, sasa nanyi ni lazima mlinde imani kubwa mnayopewa kwa kufanya kazi nzuri ili kuendelea kujenga imani mliyopewa.
@ruwasatz @jumaa_aweso Hakika mnafanya kazi nzuri, muhimu sasa ni kuja na mipango endelevu ya kuishirikisha jamii hususani za vijijini kuja na mipango mikakati ya kulinda na kutunza vyanzo vya maji. Kupitia CBWSO's zinaweza kujengewa uwezo, zikapewa jukumu la kutunza vyanzo vya maji ktk maeneo yao