Tunatoka Mapema na tunachelewa kurudi yote ni ktk Utafutaji ila bado pagumu, tunafanya kazi za halali mpaka kuwaza vya Haramu lakin bado pagumu, kama inshu ni Maombi Malaika wa Usiku ni Mashahidi wa ibada zetu ila bado bila ,ikitokea umefanikiwa usiwaone wazembe wanaojitafuta.
Katika Uchumi Kuna kitu kinaitwa Banking, ambapo kanuni zote za Bank Duniani hazitofautiani na Imani za ki-Mungu Katika Teolojia.
Yaan Bank haina ushirika na watu maskini, vivyo hvyo Neno la Mungu halina ushirika na Binadamu wajinga.
Wanawake mnaotukataa Kwasababu ya Umaskin wetu mpo SAHIHI for more than 💯% hata Sisi hiyo hali hatuipendi ndo maana tunapambana Kila siku ili kuikataa.
I don't think kama ni sahihi kumlazimisha Mwanamke aipende hali ambayo hata ww mwenyewe unaichukia na kuikataa.
#ukwelimchungu
Hapa Duniani tunasikia habari nyingi mbaya za kutisha, kukatisha tamaa, nk
Pamoja na yote Sisi tumeamua kusikia Habari NJEMA zenye kututia Moyo, kutuinua na kutupa nguvu ya kuendelea mbele.✍️
#DM#Hustler
Chagua Marafiki wanaokuelewa hata Usipojieleza, Chagua Marafiki watakao kushika Mkono siku Ukiteleza, Chagua Marafiki ambao ukipata Shida watakwambia " Sasa tunafanyaje na sio Unafanyaje" ni MUHIMU kuwa na Rafiki wa Aina Hiyo.
"Success will never lower its standards to accommodate you. You have to raise your standards to achieve it. God provides food for every bird but not in its nest."
#Hustler ✍️
"Ikitokea mahala ulipo huthamimiwi ONDOKA, Usithubutu kuthibitisha thamani yako, subiri maeneo na watu sahihi wanaoweza Kuona Ukuu wako, karama yako na ulichobeba bila wewe kujitahidi. Wekeza muda wako na nguvu zako katika miunganisho inayoleta amani."
#Hustler#MM#DM✍️
Kuna Vitu unafanya ili upate CONNECTIONS ya watu unaowahitaji, kuna vingine unafanya ili upate EXPOSURE uoneshe THAMANI yako, kuna vingine unafanya ili upate PESA. Na kuna wakati utafanya vitu ili upate VYOTE, kila unachokilenga kuna MAJIRA na WAKATI wake, Jitahidi usichanganye!
Never stop learning
It is a life long endeavour, We learn through Success and through failures, in high seasons and in lows seasons, Every event/episode we find ourselves in has a voice in it, loaded with the potential to make us wiser than we were before it,
POOR DADY, RICH DADY ANALYSIS
Having two Dads with different vision is totally confusion 🤗 see the tips!
✔️money is the source of all evils (Poor)
✔️Lack of money is the source of all evils (Rich)
✔️ I can't afford it (poor)
✔️How can I afford it (Rich)
#MM ✍️
Katika Maisha Anza kwanza kujiamini Mwenyewe, Amini kwamba chochote unachokitaka au unachokitamani kuwa nacho, Hicho ni fungu lako.
Vyote unavyovililia kwasasa ni Hofu tu ya kuchelewa ila sio vyako, Na kama ni vyako basi muda wako haujafika, na ukifika utavimiliki.
#mm