PRESS FREEDOM: Waandishi wa Habari wameandamana Jijini #Nairobi, wakilaani mashambulizi ya Wanaoripoti kuhusu #Maandamano, pia kupinga vitisho vya Polisi kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari
Julai 19, 2024, Umoja wa Waandishi wa Habari ulitangaza kufanyika kwa Maandamano hayo ya Amani, yenye lengo la kupinga Msimamo wa Serikali kuhusu Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini humo
Taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya (KUJ) Julai 22, 2024, ilieleza malalamiko ambayo Waandishi wa Habari wanataka yashughulikiwe ikiwemo kudai Uhuru wa Vyombo vya Habari, Usalama wa Waandishi wa Habari na Upatikanaji wa Habari bila Vizuizi
Soma https://t.co/3pbxRMnu7K
#JamiiForums #Governance #Democracy #Demokrasia #KenyaGenZDemos #MaandamanoYaGenZ
@Allys_Star_bus @WilliamMocathe @TBoundBuses@SouthernBuses kwa ushapu huu wa kutusikiliza wateja👏👏mnatupa imani maana apa kati malalamiko mengi hamjali wateja
sasa ndugu abiria aje na mrejesho km tv imewaka😋🔥🔥