@EduTalkTz Yaani Mungu ameshindwa kutimiza wake kivipi? Na ni ipi nafasi ya huyo aliyejenga hilo jengo ktk makazi,kwamba huo ndiyo wajibu wake kujenga alafu kulindwa ni wajibu wa Mungu ๐คฃ๐คฃ. Sigara uvute ww halaf Mungu akukinge na Cancer ya koo,tumbo,mapafu,ini nk.
@VungaEl74 Hili ni eneo la mpinga christo, mahali atakapo kuja kujitangazia kuwa yy ndiye yule Masiah (Yesu) aliyekuwa akisubiriwa kumbe ni yule Mnyama (beast) aliyetajwa ktk kitabu cha Daniel na Ufunuo. Kiufupi hili ni eneo la kujengwa hekalu la Shetani