Kuna watu Wakishindwa kufanikisha malengo yao kwako wanatafuta sababu ya kuachana na wewe ili atafute mnyonge mwingine akafanikishe mambo yake. Watu Wengi sana wanatumika kama madaraja katika mahusiano yao wala hawapendwi.
Simba sio mnyama mwenye nguvu kuliko wanyama wote si mnakumbuka Samson aliweza kumuua Simba ehh afu yeye Samson aliuliwa na mnyama gani!?
Be careful na huyo mnyama 🤣
Men,
Mwanaume haupaswi kuona aibu kumwambia mtu Sina HELA...
Na Usijitetee mara oh Nimetoka kulipa kodi mara nimemtumia Bi Mkubwa..
Weka jibu SINA HELA na Usiwaze utachukuliwaje..
Punguza maelezo Uhalisia ndio Uhuru kwa Mwanaume.

Mwisho wa mambo yote hautakumbuka kimya kingi cha rafiki zako Bali utakumbuka maneno mengi ya Adui zako_
_*Kumbuka maneno ya Adui hujenga Wakati wa changamoto kuliko kimya cha Rafiki!*_