๐จ๐๐๐๐๐๐
Cristiano Ronaldo na Georgina Rodrรญguez walioana chini ya mfumo wa โutengano wa maliโ (separation of financial assets), kulingana na cheti chao cha ndoa.
Kulingana na taarifa zilizotolewa, wenzi hao walichagua mfumo wa kisheria wa Ureno unaoitwa separaรงรฃo de bens. Chini ya mfumo huu, kila mmoja anaendelea kumiliki na kudhibiti mali zake binafsi zile alizokuwa nazo kabla ya ndoa na zile atakazopata baadaye kwa njia yake mwenyewe.
Hakuna mali ya pamoja ya ndoa au mgawanyo wa 50/50 iwapo ndoa itavunjika.
Ndoa yao ya kiraia ilifanyika tarehe 11 Agosti 2026 mjini Cascais, Ureno, siku ile ile walipotangaza rasmi kwenye Instagram kwa kuchapisha picha ya pete zao za ndoa.
#MeaMswahiliUPDATES
@EsirEid@Lemawakwanza Kama umebakwa jikaze usijisaidie haja ndogo wala haja kubwa mpaka utakapofika kwenye kituo cha afya kwaajili ya vipimo vyenye uhakika zaidi. Ukishindwa kujizuia basi tumia chombo kisafi kuhifadhi mkojo au choo chako ukifika kituo cha afya usisubiri foleni wahi kwa mtoa huduma.
@prossoff Binadamu vs Asili(Nature) hichi kitu nitasema mpaka mwisho hata ungefanya nini sio wote watakao-appreciate ulichokifanya mpaka kitokee kingine ambacho kitalinganishwa na kile ulichofanya.
Mfano mzuri tutumie Libya kama case study.
@Thereal_taivina Ukifa ni kama ukilala unavyokuwa, isipokuwa ndo hautaamka mwili utaoza, kisha mawazo ya nafsi vitazurura kama ndoto unayoota usingizini lakini isiyokuwa na mwisho
@Thereal_taivina Kwahiyo MUNGU atakuwa anatuangalia tukicheza siku zote(milele) kama katuni mbele zake? Mi mwendo wa miuno vibunooo humu tu na piano za mbinguni bila kuchoka?