Dkt. Sospeter Mosile, Daktari wa Kinywa na Meno kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete anashauri namna nzuri ya kusafisha Kinywa na Meno.
Anasisitiza umuhimu wa kuhakikisha sehemu zote za meno zinasafishwa vizuri ili kudumisha Usafi pamoja na kuepuka Magonjwa ya Kinywa na Meno
Video: Kitete RRH TV
Vijana wengi kuanzia 25-40 wana dini yao.
Hawaendi kanisani wala msikitini kwa namna moja au nyengine wao wanaamini kuna Mungu tu basi.
Dini nzuri sana hii.