FURSA ZA BIASHARA AMBAZO HAZIJAFANYIWA KAZI SANA KATIKA SEKTA MBALIMBALI (Zipo baadhi tayari zimeanza)
KILIMO NA CHAKULA
1. Uhifadhi wa mazao baada ya kuvuna
2. “Ghost kitchen” - kuwa na jiko bila mgahawa, unapika na kufanya delivery kupitia app. Na jiko linakuwa shared na wapishi tofauti
3. Matumizi ya teknolojia kuanzia kuandaa shamba hadi chakula kumfikia mlaji (hapo katikaki fursa ni nyingi kwa kutumia tech)
4. Huduma za fedha na bima kwa wakulima
5. Usimamiza wa shamba (farm management)
6. Kulimia watu wengine na kuchukua percent (crowdfarming)
7. “Restaurant booking”
SEKTA YA AFYA
1. Doctor-Patient booking kupunguza queing hospitali
2. Kutumia AI kugundua magonjwa mapema (AI early detection)
3. Home-based care
4. “bed-side imaging”
5. Pickup & delivery of lab samples from home
HUDUMA ZA FEDHA
1. “credit scoring” kwa wasio na akaunti za benki
2. Robo-advisor - ushauri wa kuwekeza kutumia robot
3. Utoaji wa elimu ya fedha
4. “Profiling-based insurance products
5. FX hedging platform
HUDUMA ZA UJENZI NA MAJENGO
1. Nyumba za bei ya chini (affordable housing)
2. “Smart homes”
3. “Real estate crowdfunding”
4. Real Estate Investment Trust (REIT)
5. Peer-to-peer mortgage platform
6. Green building technology
Itaendelea…..
@IAMartin_ Bora iwe hivyo sisi tutakuja Host next time peke etu na itakua vizuri kama SGR itakua complete na sehem za vivutio zitakua zimeboreshwa zaidi…kuna muda wa kushambuli kuzuia na kukimbia.
@Kirikuu20 Ambacho hujaelewa ni kua Uislam una mafundisho na maelezo yake na hukumu zake…mtu akikwambia mondi hajafata taratib za dini anamaanisha kwa mujib wa Quran sio kwa mujibu wake yeye mtu anahukumu hapana bali neno ndo linahukum ambalo ndo neno la Allah…Mungu anajua zaidi.
@EduTalkTz M.Mungu anampa kila binaadam nafasi ya kumrudia akifanya makosa na pia anampa aliyenyooka mitihani ilimradi tujifunze katika kuishi hadi kufikia akhera katika hesabu yeye hana khiyana au hisia za kibinaadam kama unazohisi wewe hapo wakati unapost…umeelewa!?
DAR: Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anadai, kwa muda wa Siku mbili (Februari 7 na 8, 2024) amezunguka katika baadhi ya maeneo ya Mitaa ya Kawe na Mbezi Beach kwa akitafuta Sukari Madukani lakini hajafanikiwa kupata kwa madai kuwa imeisha
Anashauri Mamlaka zifuatilie kujua kinachoendelea kama kweli ni uhaba wa Sukari au kuna changamoto nyingine
Je, Mdau hali ipoje Mtaani kwako kuhusu upatikanaji wa Sukari?
Soma https://t.co/IjvP7NdcSM
#JFHuduma #Governance #JFUwajibikaji #JamiiForums