Update toka Tanga
Kushoto ni Chai ya Nazi na Jicho la Mke Mwenza
Kulia ni Chai ya Nanasi.
Kikombe ni 2,000/= na Jicho la Mke Mwenza ni 1,200/=.
Ladha za Tanga.
Namna ya kuwa HUMBLE katikati ya utele wa Mafanikio, Vyeo, Pesa na Mali.
1. Daima kumbuka ulipotoka, "Remember your roots".
• Ikiwezekana kuwa na folder lako lenye picha zako ukiwa at the lowest moment of your life (Kumbuka ahadi, nadhiri ulizomwekea Mungu ukitoboa, na ulichojiambia utakuwa nayo makini ukitoboa), na picha zako ukiwa umeshapata kila kitu ulichowahi kuota, kutazamia au kumwomba Mungu.
• Kila mara pitia hiyo folder ili uweze kuona umuhimu wa juhudi za wengine wanaopambana kutoboa wakiwa chini ulipokuwa awali.
2. Heshimu jitihada za wengine hata kama hawajafanikiwa kufikia level zako.
• Siyo kwamba wengine ni wazembe, au wavivu pengine muda wao haujafika.
• Hata wewe pengine ni kwa neema ya Mungu tu upo ulipo au unamiliki ulichonacho, labda wapo wengi wenye sifa na vigezo kukuzidi ila Mungu amekupa wewe kibali.
3. Don't brag. Usijikweze!
• Of course kujikubali na ku-appreciate juhudi na matunda yako, lakini usitumie kama tochi ya kuwamulika watu machoni.
• Kuwa humble tu, pokea pongezi na tambua pale watu wanapokupongeza kwa ulichonacho.
• But, sifa na utukufu "Channel" ziende kwa Mungu kama unaamini 🙏.
• Usiruhusu EGO yako iinuke maana itakuwa ndiyo anguko lako.
4. Usichanganye UTU na VITU.
• Usitumie vitu ulivyonavyo kutweza utu wa mtu au watu wengine.
• Usimdharau mtu au watu wengine kwa sababu tu hawana pesa, cheo au nafasi kama ya kwako.
• Treat watu kama inavyopaswa bila kubagua au upendeleo kwa sababu tu hawana chochote.
5. Kuwa na ubinadamu.
• Fikika pale inapobidi na kuwa na watu (uwepo wako inapobidi). Shiriki matukio ya kijamii, kama sherehe, misiba n.k. Tuma mwakilishi pale inapobidi tu.
6. Be generous.
• Tazama ulichonacho kama sehemu ya kutoa mchango wako kwa jamii. Chochote kile ulichojaliwa, find something meaningful na kufanya katika jamii.
• Huenda ni kuwavisha yatima nguo, kumlipia mtu ada, n.k.
• Kumbuka kitu kidogo kwako, inaweza kuwa dunia kwa mtu au watu wengine.
7. Raise others (Wainue wengine).
• Usiwape samaki tu. Wafundishe namna ya kuvua samaki.
• Mshumaa mmoja inaweza kuwasha mishumaa 1000.
• Hivyo wafundishe wengine, fanya mentorship na kuwa-guide wale wanaokutazama kama role model na kutamani kuwa kama wewe.
8. Ukiwakosea watu (mtu), jishushe kisha omba msamaha.
• Achana na dhana kuwa tajiri hakosei. Wewe ni binadamu siyo malaika.
• Omba msamaha haraka pale unapowakosea watu bila kujali vyeo vyao au hali ya kifedha na mali.
9. "Epuka dhuluma", Lugumi S.
• Usitumie pesa, Mali, vyeo au nguvu ulizo nazo kuwaonea au kuwanyang'anya wengine vitu vyao mfano, aridhi, nyumba n.k.
• Hata kama wana nguvu na misuli ya kipesa kama wewe, lakini Mungu wao anaona na atawatea hata kama siyo leo.
10. Daima kuwa na Moyo wa Shukrani.
• Shukuru, Shukuru, Shukuru kwa kila kitu ulichojaliwa.
EFM.
PS: RT kisha follow @EdwinMjeru tuzidi kujifunza kwa pamoja.
Nakutakia jumapili njema!
Palamagamba Kabudi Speech to Kenyans.
Huyu Mzee alikua na Speech Bora sana Siku hii, Sijui kwanini alisema alitolewa Jalalani.
Chakushangaza, Akawa waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo.
Nimesoma haya mambo, nimeona nanyinyi mnambie ni kweli au uongo?
1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.
2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).
3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.
4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.
5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga, Cliff Block 1895
6. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.
7. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga, Pangani 1900.
8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia 60 ya Pato la Taifa.
9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka 1891.
10. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - 1903 Soko la Uzunguni.
11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba 1914.
12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.
13. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).
14. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha, hivyo kuwa jiji pekee nchini.
15. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki.
16. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki.
17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya 1950.
18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka 1905 huko Muheza Amani.
19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejelea Mtandao wa Bandari ya Tanga).
20. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) 1901
LA MWISHO KABISA:
3 years ago I was broke, overweight, and living in the worst city in the UK
Now I'm living in Dubai, making $500k/month
Here's how I did it (so you can too):
Bro, kuna kipindi kinakuja kwenye maisha ya mwanaume ambacho kinaonekana kimya…
lakini ndani yake kuna vita ambavyo watu hawavisikii.
Miaka ya kati ya 25s na 35s sio mchezo.
Sio kipindi cha kutabasamu ovyo.
Ni kipindi ambacho dunia inaanza kukupima kama mwanaume, sio kama mvulana.
Kila siku unaamka ukiwa na swali moja kichwani: “Nitawezaje kuishi kesho ikiwa leo bado mambo yangu hayajakaa?”
Hakuna anayejua mawazo unayobeba.
Hakuna anayejua pressure unayovumilia.
Watu wanakuona tu kama kawaida,
lakini ndani yako kuna vita vinavyokula nguvu zako kimya kimya.
Kaka huo ukimya unai uona kwa rafiki zako sio amani ni mapambano
Kila mtu yuko busy na vitu vyake:
wengine wanatafuta pesa
wengine wanajenga maisha
wengine wanapambana na madeni
wengine wanaishi tu kwa mazoea
Miaka hii kila mtu anaonekana mbali au amekudharau,
lakini ukweli ni kwamba kila mtu anaogopa kushindwa.
Ni kawaida Wanaume hawazai marafiki wengi —
wanabaki na wachache tu wanaofahamu maumivu yao.
Hii ndiyo miaka ya kujua kwamba ulikua serious au una post quato za motivation status
Kuamka mapema hakusaidii kama huna mpango.
Kukaa kimya hakusaidii kama hufanyi kazi.
Kukaanga stress bila kuchukua hatua ni kujidanganya.
Huu ndio umri ambapo dunia inakutaka uamue:
utapambana au utaishi kwa bahati?
utajenga au utategemea?
utabadilika au utaendelea kulalamika?
Wanawake wanaweza wakakupenda lakini wasikusubiri
Unapoteza focus haraka?
Huna malengo?
Unakimbiza kila sketi?
Unatafuta starehe kuliko mwelekeo?
Pole bro,
heshima huja na maendeleo, sio mahaba.
Usiweke moyo wako kwenye mapenzi zaidi ya maendeleo yako.
Mwanamke atakaa bila pesa zako,
lakini heshima yake kwako
inategemea unavyojijenga.
Mapenzi bila uthabiti = stress.
Mapenzi bila vision = drama.
Mapenzi bila pesa = maumivu.
pesa sio Kila kitu, lakini pesa huamisha Kila kitu
Ukishaingia 25+ unagundua:
bili hazilipwi kwa kuomba ushauri,
njaa haisubiri motivation,
maisha hayabadiliki kwa kulalamika.
Unahitaji:
ujuzi
nidhamu
kujitengenezea nafasi
akili ya kutofukuzana na kila kelele ya dunia
Watu wanaonekana wamefanikiwa ghafla,
lakini hawakuona miaka ya kimya,
miaka ya kukata starehe,
miaka ya kufeli kimya kimya.
Kaka ni makosa makubwa sana kujiringanisha na wengine
Kila mtu ana timing yake.
Kila mtu ana baraka zake.
Kila mtu ana mzigo wake wa siri.
Wengine wamezaliwa tayari na network.
Wengine walikuwa na backup ya kifamilia.
Wengine walikuwa na bahati y
Lakini hakuna aliyezaliwa na safari yako.
Hakuna aliyepewa uwezo wako.
Hakuna aliyepewa maisha yako.
Tembea polepole,
lakini usisimame.
Bro jenga tabia ya kusimamia maamuzi magumu hii ndiyo siraha wanayo itumia watu waliofanikiwa
Kuacha marafiki wabaya ni maumivu.
Kuacha starehe ni ngumu.
Kuacha wanawake wanaokukwamisha ni mateso.
Kuanza upya ni uchungu.
Lakini kila maumivu unayoyapitia sasa
yanakutengeneza kwa mtu ambaye
utamshukuru miaka mitano ijayo.
MWISHO… BRO, KITU KIMOJA USISAHAU:
✅Uliyetakiwa kuwa
bado yupo ndani yako.
✅Ana nguvu.
✅Ana vision.
✅Ana uwezo.
Usimfukie kwa uvivu.
Usimzike kwa hofu.
Usimwache afe kwa starehe.
Huu ndio wakati wa kumuokoa.