Driving smarter water management!
Honoured to host a team from Dodoma Urban Water Supply and Sanitation Authority @duwasatz to share insights on NRW Management and the UrbanWaterCatalystInitiative.
@VEI_NL#EnrichingLife#partnerships#collaboration#NRW
MAFUNDI wa DUWASA wakifunga valvu ya kusaidia kutoa upepo (Airvalve) katika bomba la inchi 6 katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma, Machi 13, 2025.
Valvu hiyo usaidia kutoa upepo kwenye bomba na hivyo kufanya mgandamizo wa maji kuwa mkubwa.