@JumaaAweso@maji_mowi@duwasatz Nilitamani kero yangu iwafikie mie mteja wa maji nipo dodoma nikekuwa nikutumiwa bills za maji za kukadiliwa na hii ni baada ya kulalamika matumizi na bills haviendani kumbe mita imesimama muda mrefu lakini wasomaji hawatoi taarifa huu sio wizi
Natamani muheshimiwa wazira wa maji hafahamu hii kero ya Duwasa jinsi wanavyofanya wizi wa wazi wazi napo ishi mita ya imesimama bila sisi kujua ila wasoma mita wao wanafahamu na taarifa hawatoi ila bills zinaendelea kuja mpka tuliposhtuka matumiz na bills ni vitu viwil tofaut.
@maji_mowi Niko na kero duwasa wanatabia ya kumbakizia bill zisizo sahihi wasoma mita wao hatoi taarifa ka mita ni mbovu ila bill zinakuja kila mwez huu sio wizi
@duwasatz Naitwa Noel naomba hii mesagi imfikie manager wa Duwasa watu wako ni wezi mita imesimama muda hawatoi taarifa ila bila za uongo wanstuma mpka kutambua hilo tatizo idhakuwa too late hawa watu tunawafanya nn