@GraceNguo huwezi kupata kwa sababu volume haihusiani na uzito...
vitu vinaweza kuwa na volume sawa na uzito tofauti...
mfano godown, manyoya na maji, vinaweza kuwa volume sawa uzito tofauti....
labda ujue density ya icho kitu
@leo_unsc Yaani hapa ndo uwezo wake halisi ulipofikia sasaa baada ya force sana huko expensive private school..
Yaani watu hutukia gharama kumbwa kupata maarifa sahihi huku tuna tumia gharama kumbwa kufaulu mitiani bila maarifa.
@d_abduely@wilbroadaugusto@Chopawang Si kwa TA wote..
Kuna TA alifanya degree ya 5 years, TA wa 4 years na T.A aliyemaliza degree ya 3 year wanalipwa tofauti sanaaa