Mwanzo 32:10
[10]mimi sistahili hata kidogo hizo rehema zote na kweli yote uliyomfanyia mtumwa wako; maana nalivuka mto huo wa Yordani na fimbo yangu tu, na sasa nimekuwa matuo mawili.
Baraka za Bwana hutajirisha.
Mwanzo 32:10
[10]mimi sistahili hata kidogo hizo rehema zote na kweli yote uliyomfanyia mtumwa wako; maana nalivuka mto huo wa Yordani na fimbo yangu tu, na sasa nimekuwa matuo mawili.
Baraka za Bwana hutajirisha.
watu wenye vipaji(vipawa) na makundi mengine, ili injili ihubiriwe zaidi ya ambavyo ilishawahi kuhubiriwa kabla kwa kua mwisho umefika na hiyo yote ili unabii na andiko litimie.
Hapo zamani Mungu aliwatumia watu wa zima na wazee kama manabii wake kusema na watu wake.
Lakini nyakati hizi Mungu anatumia vijana wenye nguvu, watu wenye influence(maarufu na wenye ushawishi), watu wenye mamlaka (viongozi), watu wenye taaluma zao (intellectuals),
Back then, I was asking to myself, why ladies are suffering more than men from spirit posession (kusumbuliwa na Roho chafu na pepo wabaya).
katika 10 waliofunguliwa asilimia 90% ni wanawake na asilimia 10% ni wanaume au hamna kabisa.
Kumbe ladies are the gates in spirit(lango)
Joel 3:18 - It shall come to pass in that day, that the mountains shall drop down new wine, & the hills shall flow with milk, & all the rivers of Judah shall flow with waters, & a fountain shall come forth of the house of the LORD, & shall water the valley of Shittim. #heaps
A person needs to love and to be loved to find a deep sense of self value.
Someone in relationshp is more confident&attractive than the single ones.
People see you the way you see yourself, if you have a sense of self value, your value will be seen, that's how you attract them
Once a close friend said guilt is the one of the man's weakness, but I think guilt is our strength that reminds us who are and what we are supposed to do.