A boys-boarding school devoted to provide a good quality education Tanzanian Curriculum. Eagles enrolls obedient youth for both for O-Level and A-Level studies
- Wanafunzi wanatatakiwa kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Covid -19 kwa kuja na mahitaji k.m vitakasa mikono na barakoa.
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
- Shule itafunguliwa tar. 28.06.2020.
- Nafasi za kuhamia na kujiunga kidato cha tano bado zipo kwa tahsusi za PCM, PCB, PGM, CBG, PMC, CBC, ECA, HGE, EGM, KLF, HGL, HKL na HGK.
- Wanafunzi wanatatakiwa kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Covid -19 kwa kuja na mahitaji k.m vitakasa mikono na barakoa.
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Good news!
95% of our form four graduates have been selected to join form five and colleges in Institutions run by the government.
Special thanks goes to our teachers, parents and students for this great success.
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kuhamia. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. 0738-719877, 0738-719875,0754- 303759
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Usiache OFA hii ikupite.
Fomu za kujiunga zinapatikana:
-Eagles High School (Bagamoyo)
-Msimbazi Centre (Chumba No:9)
-Tovuti ya shule
#eagleshighschool#alwaysaimhigh#education
Ratiba ya marudio ya masomo kidato cha VI (TBC1)
Kwa kipindi hiki ambapo shule zimefungwa tunawakumbusha wanafunzi wote waendelee kujisomea kwa bidii na tunawasisitiza wazazi/walezi kuwasimamia vijana wetu kwenye hili.
Credit: Taasisi ya Elimu
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Tunaendelea kupokea wanafunzi wa kuhamia na Fomu za kujiunga kidato cha Tano bado zipo, Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. 0738-719877, 0738-719875,0754- 303759
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Nafasi kwa wanafunzi wa kuhamia bado zipo. Shule yetu ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunza.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi; 0738719877, 0738719875,0754303759
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Tunaendelea kupokea wanafunzi wanaohamia kwa kidato cha I, III na V.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi; 0738719877, 0738719875,0754303759
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Karibu Eagle High School kwa elimu bora ya kijana wako. Shule yetu ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunza. Tunaendelea kutoa fomu za kujiunga kidato cha Tano, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. 0738-719877, 0738-719875,0754- 303759
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh
Nafasi kwa wanafunzi wa kuhamia bado zipo. Shule yetu ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunza.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi; 0738719877, 0738719875,0754303759
#EaglesHighSchool#AlwaysAimHigh