@am_gudie@Dr_DGwajima Uwepo wake kaka nj uponyaji tosha nataman ujue kias gan ana utu, kujihusisha kwake na mamb ya jamaii , waziri pekee aliyeruhusu kumtafuta akatoa mpaka no ya somu , umuelekeze shid sehemu fulan atatafuta ufumbuz bil kukuuliz wewe ni nani. Kiongoz wa pekee sana hana mamb ya kuvimba
Hongera
@Dr_DGwajima
kwa kuteuliwa tena kuwa Waziri wa maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu. Binafsi wew ni icon ya uongozi umefanya wadau wako wakujue haraka na wakufikie pale kweny uhitaji. Ubarikiwe๐๐พ
@am_gudie@Dr_DGwajima Tumpongeze ni faraja kwa wizara yake kama unachangamoto wasilisha atakusikiliza mbona muelewa sana, kwa nn nimempongeza yeye? Hajawai kuchelewa kweny kukemea wala kushughulikia tatiz pale linapomfikia na aangalii nani nampa suala la kulitatua atafanya awezavyo iwe ushauri n.k
@English_snow2@Dr_DGwajima Youโre still replying to an insane? Maybe youโre also looking for food in a madmanโs house , I hope you enjoy eating the filth you find there, because that place is clearly not meant for someone like you.
@am_gudie@Dr_DGwajima She is fantastic and full of humanity in her role. It may take a while to realise that she is not only a minister, but also a mother who cares deeply about families. Mothers feed their children with whatever they can afford. Please read the last paragraph carefully.
@English_snow2@Dr_DGwajima She is fantastic and full of humanity in her role. It may take a while to realise that she is not only a minister, but also a mother who cares deeply about families. Mothers feed their children with whatever they can afford. Please read the last paragraph carefully.
@airtel_tanzania kwa nin mnakata pesa ambazo sio zetu kwa watumiaji wa kamilisha? Mteja amekopa 4000 den analipa ikiingia pesa bado mnakata, mteja aliwah outumia huduma amelip mnamuwekea den la laki 2 na point ikiwa kiwango chake cha kukopa hakifiki tuwaeleww vip?
@mangekimambi Ooh watanzania waoga ooh wazembe mlifanya nini mlipokuwa Tanzania? Kuonyesha kias gani ni waoga nyie ndio mlikuwa wa kwanz kukimbia nchi yenu sasa nani mzalendo kati ya sisi waoga na nyie waoga haswa? Unaogopa kufa alaf unamwambia mwenzako onja sumu haiui hy ni sukari๐ wajinga