WAFAHAMU JESUITS
NB: Katika jamii zote za siri duniani, hakuna jamii ya siri iliyoko juu kuliko hawa jamii ya Yesu (Society of Jesus)
Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini.
Hii inahusu ukweli kwamba imeundwa na kikundi cha wanachama ambao hufuata sheria na kanuni za kanisa katoliki.
Kikundi hiki kilianzishwa mwaka 1540 na Ignatius Loyola na kupitishwa na Papa Paul III
Ignas wa Loyola, ni Mhispania ambaye alikuwa mwanajeshi, Mwaka 1521 alijeruhiwa vibaya vitani.
Hivi huyo bibi yenu uwa anaelewa ? Mama huyu aachie nchi kwa ustawi wa vizazi vijavyo
Asinuse sehemu wanakopesha, yaan na hao wenye PhD feki akina @mwigulunchemba1 nao wanaona ni sahihi nchi kuendeshwa hivi !
Nawapa miaka 4 tu Tanzania will be like Zimbabwe kwasababu ya viongozi vipofu!
Namlaumu sana Magufuli alijua Katiba yetu Rais akifa Makamu anakuwa Rais akaacha bomu lituangukie, Kwani nakuona Makamu wengine? Mpaka huyu mama ? Anajiita Chura kiziwi, Magufuli alijua hatoboi 2025 kutokana na ka battery kake kwenye moyo pia akakumbwa na Corona
This country need more vaccines
Kuna Namna unaweza ukawa sehemu ukasahau simu bahati mbaya na ghafla ukarudi ukaikosa na ukipiga haipatikani
Fanya hivi mda huo huo kuipata bila kumlipa Mtu au Taasisi ....
Thread 🧵
Repost 🔄
Bookmark 🔖
Follow @techygaspar
Shuka nayo 👇🏾