SABABU YA KUWA MWANASHERIA:
Leo naomba niweke HADHARANI sababu ya mimi PETER MADELEKA kuamua KUSOMA SHERIA. Nilipokuwa NASOMA HUKUMU za Jaji Mkuu FRANCIS NYALALI, niliona HAKI, UTU na HEKIMA KUBWA, nikaamua KUSOMA SHERIA ili NIMUENZI huyo 👇MLINZI WA HAKI.
@Bzone_kagoma@prossoff Hata kama alifunga ndoa na Bibi mdogo, hiyo ndoa ni batili. Issue siyo kufunga ndoa bali ni ndoa ipi ilianza kufungwa. Ndoa ya kwanza ni hali, na ndoa ya pili ni batili hata kama ana cheti cha ndoa.
Hakuna kazi nyepesi🙌
Hapa nimetoka kusaidia wachumaji mboga tuzitume Dar 🥱mgongo wote unauma,ukija matombo ni mwendo wa kazi kazi👊
Kesho ukila figiri ama mchicha huko Dar jua umetoka kwa mantilie🤣🤣
~msiache kupitia kijiweni jmn dada enu nna kikoba
~Sgr station Dodoma
Karibun
🚨🇳🇬 Zadok Yohanna emotional as he signs his contract with Brighton.
He was still playing in Nigeria last year, what an incredible story. https://t.co/H2aLJxO7NO
Kama unajenga 2026 na unataka ramani kali ya 4 Bedroom, chukua hii iko full.
1.Master 1, Self 2, Single 1.
2. Sitting room
3. Kitchen+Store
4. Dining
5. Public toilet
Bati 160
Block 5000
Kiwanja 20x25m.
👇👇👇
https://t.co/BgWSo23ch3
Ukikuta shamba lini hii miba jua hilo shamba ni mali kwa kilimo cha mpunga.
Shikamoo Mr Sonyanga. Ole wako uingie peku shambani unaweza ukakatwa mguu kabisa
Miaka 7 iliyopita, safari yetu ya ufugaji ilianza chini ya muongozo mkubwa wa Mzee wetu Mwaijande.
Leo nimesimama mwenyewe.
Mwaijande Legacy inaendelea.
#Ufugaji#Legacy#Tanzania
Mti wa kokoa wangu unazungumza wenyewe 💪
Mavuno yanakuja, bei iko vizuri (10,380 - 11,000TZS/kg)
Hii ndio sababu nasema: Shamba liko tayari!
**Mwaijande legacy inaendelea.** Be humble!
#KokoaOrganic#KilimoFaida