@HecheJohn Nyakati zimebadilika sana viongozi nao wabadilike
1. Technolojia imekuwa sana
2. Upatikanaji na usambazaji wa taarifa umekuwa mwepesi sana
3. Kiwango cha elimu kimekuwa sana, si ajabu sasa hv kila nyumba kukuta kuna mtu au watu kadhaa wana bachelor