@hasnaaAbdi Acha kupotosha umma. Wanawake waislam wengi wao ni machangu doa. Hata wakiolewa ndoa zao hazidumu. Na uislam wao ni wakati wa mwezi wa Ramadan tu.
"PROF. SHIVJ APENDEKEZA NAMNA YA KUEPUKA MKATABA BAINA YA TANZANIA NA DUBAI"
Alisema yafuatayo:
"Kwa ujumla kwa kuhitimisha, mkataba huu sisi wanasheria tunauita honoracy provitions na tukikubaliana hivyo je kuna njia gani ya kujitoa kwenye mkataba huu? Hii sitorudia kusema kwa sababu the destiny ilikuwa ni bunge kuto ridhia mkataba huu lakini kwa sasa na kwa busara zake bunge limeona mkataba huu unafaa na limesha uridhia.
Njia ya pili imependekezwa na chama cha wanasheria na Mzee Warioba, aliposema kwamba tuurekebishe mkataba huu na tufute vipengele vinavyo lalamikiwa. Je njia hii inawezekana? (haiwezekani!) kwa mkataba huu mshirika wako ni lazima akubali ndipo marekebisho yafanyike.
Kama alivyosema Bwana Richard (mzungumzaji aliyetangulia.) kwamba kama mshirika ananufaika na kifungu hiki hatoweza kukubali kurekebisha. Na hata ukisema anakubali je mkataba huo sasa baada ya kurekebishwa utarudi tena bungeni? kwa sababu huo ulio rekebishwa utakuwa haukupitishwa na Bunge!
Jambo jingine nilisikia kwenye clip kutoka kwa Dr. Slaa akisema kwamba kuna muda wa mwaka mmoja kujitoa akinukuu ibara ya tano ya mkataba huu. Nafikiri amekosea tafsiri ya jinsi alivyosoma mkataba huu, ibara ya 5 inasema tu kwamba kama katika muda wa miezi 12 baada ya kusainiwa kwa mkataba na endapo kama hawajakubaliana kupitia project agreement na negotiation, serikali ya Tanzania itakuwa na uwezo wa kutafuta proporsal sehemu nyingine, haisemi kabisa kujiondoa.
Njia ya tatu ya kuingia mahakamani kama wenasheria wengine walivyofanya hapa kuna matatizo. Kama tunavyojua mahakama zetu zinachukua muda mrefu sana kufanya maamuzi, pale kesi itakapo kuja kusikilizwa muda utakuwa umepita na wahusika watakuwa wamesha saini project agreements, mahakama itashindwa kufanya maamuzi ya haki baada ya muda huo kupita na kwakuwa uamuzi wake kwa kipindi hicho hautakuwa na maana yeyote ndivyo watakavyo sema.
Njia mojawapo sijui kama wenzangu wamefikiria hiyo, kwenda kufile case na kuomba inaction ili kuzuia serikali kusign any proporsal about agreement mpaka pale kesi ya msingi iwe imeamuliwa, inategemea kiasigani wataweza kuwasilisha hoja zao lakini kisheria inawezekana hiyo. Swali ni je, utakapoingia mahakamani utakuwa unachallenge nini? Huwezi ukachallenge mkataba (IGA) bali utakuwa unachallenge azimio la bunge kwamba ni unconstitutional kwasababu limeridhia mkataba ambao ni unconstitutional. Kwahiyo azimio la bunge liwe ni unconstitutional kwa kuridhia mkataba ambao ni unconstitutionala ihope itakuwa vizuri.
Njia nyingine ambayo inawezekana kabisa, Mheshimiwa waziri mkuu amesema watafanya amendment lakini kama nilivyosema haiwezekani. Bunge laweza kupitisha azimio kurevorke azimio lake la kwanza na bunge lina mamlaka sovereignity power ya ku unvoke it's status. Wabunge wanaweza sema baada ya kusikiliza wananchi wetu tumeona kuwa azimio hilo halikuwa sahihi na tunalifuta inawezekana kabisa na kama azimio likifutwa hakuna rectification na kama hakuna rectification mkataba umefutwa, sasa njia hii pekee inawezekana.
Ni kwa kiasigani wananchi wataweza kuwashinikiza wabunge wao kuwalazimisha wakae tena bungeni warevorke azimio hilo na kufunga huo mjadala inategemea na uwamuzi wao wananchi. Kusema kweli bunge haliko chini ya Dubai hata sheria za kimataifa haziwezi kuli zuia ndio maana ya sovereignity of parliament kwa hivyo uamuzi wa Bunge utaheshimiwa.
Amesema Prof Shivji kwenye mjadala huo.

@MdeePaschal FACTS KUHUSU HOLY BIBLE
1. Kuna Mungu mmoja muumba wa vyote.
2. Kuna Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai na aliye juu ya yote na mtawala pamoja na Mwana wa pekee wa Mungu Baba
3. Kuna Roho Mtakatifu ambaye ni NGUVU ya Mungu na ya Yesu kristo na kwayo kuna NGUVU ya ushindi
@Eric__Bernard Hapo kwenye utatu mtakatifu ndo mwanzo wa upagani ktk ukatoliki(RC). Kuna MUNGU mmoja tu ambaye ni Baba wa Bwana Yesu kristo. Roho mtakatifu ni NGUVU ya uweza iletayo wokovu na si nafsi ya Mungu. Ukatoliki ni Imani ya kipagani kutoka kwa Rumi ya kishetani yaani Roman katoliki
@millardayo Waziri ameongea pasipo kufanya utafiti. Bangi imeingizwa kwenye orodha ya madawa ya kulevya Toka 1961 na imetolewa kwenye orodha hiyo tayari na UN-WHO. Sasa hivi ni zao kubwa la biashara ulaya US, Asia na afrika isipokuwa TZ. Canada pekee inaingiza $43B Kwa mwaka. Tuache ushamba
@Ndolezi_Petro Kweli ACT hamuko kimukakati, Mji wenye watu laki tatu, hatawasipo piga kura, hawapunguzi chochote. Wekeni base Tanganyika, vinginevyo mtaishia kuendelea kuwa chama shikizi.
@halimamdee Hapa kwenye Yanga, HALIMA tuPo wote. Kweli Leo Wananchi haikuwa cku yetu. Inshallah, tunaweza kupindua meza uarabuni. Huu ni mwanzo. Tujipongeze Kwa hatua hiyo
@Monalisandala1@ChademaTz @ACT_wazalendo1 Acha kuomba Huruma, baada ya mkutano wenu kubuma songea Leo ndo mmejua kuwa ninyi ni wachanga. Hamjui Siasa za upinzani, ninyi ACT ni chama shikizi. Unaenda kuitaja Zanzibar songea, wapi na wapi. Msipo acha Siasa nyepesi na shikizi, ACT mwisho wake itakuwa ni Kwa Wala ulojo pemba
@Jambotv_@zittokabwe ZITO fanya Siasa za kiushandani, usitafute Huruma. ACT ilianza Kwa kupewa CHOPA na ccm Ili kipunguze NGUVU za upinzani wa CHADEMA Kwa CCM, na mpaka Leo Bado kina ndoto hizohizo za kuisaidia ccm. ACT ni chama shikizi na siku CUF zbar wakihama, kitabaki hakina hata mjumbe wa shina