Nimekwenda kuweka mafuta Petrol station nilitaka aweke sh 90,000 yeye kaset 900,000 kwenye mashine bila kujua alafu kaondoka kuhudumia mwingine, mimi nikaendelea na mambo yangu, kushtuka mafuta yanamwagika chuma ishajaa na inasoma 205,000. Nimemuonea huruma huyo dada.
Siku moja niko pale Coco Beach kama saa saba usiku ndani ya gari nawaza mambo yangu wakaja kama hao mbele wakakaa, walivyoanza kujibebisha nikawawashia taa๐๐๐
I love young couples, wanatembea wameshikana mikono, wanakula pamoja, outing mara kwa mara, shopping pamoja, wanaishi dunia yao, vipo happy vyenyewe ๐
@MarekaMalili@maxannania Kwa sasa nashukuru sana naweza pitisha mwezi au miwili bila kunywa, ila nguvu niliyotumia kufikia hapa siyo mchezo, kama mtu hanywi pombe asijaribu