@moodewji@SimbaSCTanzania Kila la kheri kwako na kwa wanasimba wote, Hujawahi kutuangusha kaka mkubwa, Naamini matendo yako./
All the best to you,and to all Simba fans, You never fail us our elder brother.
I trust in your deeds.
@moodewji@SimbaSCTanzania@bvrbvra Well said Moo! Tunaamini Simba watatupa CEO bora zaidi. Simba inauhitaji wa mtu sahihi kwa ajili ya kutunza nidhamu ya Club.
@hajismanara Kichwa chake hakiwazi maugoro, macho na akili yako yanakuonyesha hiyo ni nn?Ulitaka iwe je? Kwani ya kwako? Watu wenye akili finyu hujadili watu badala ya ideas.Nadhani ugoro ukivutwa sana huathiri ubongo mzima. Sasa macho nayo yameanza kupofuka.Bro! Waza yako.
Kuna baadhi ya wanaume ni wema, na wana upendo wa dhati.
Lakini wanaishi maisha ya stress, na maumivu kila kukicha.
Kwasababu moja tu ""Wamekosa wanawake wema.""