X wataalamu wa Mambo nahitaji kujua au kupata mtu atakaye weza kunielezea jinsi yakupata code yangu binafsi kama zile za mitandao
MF.
- *150*01#
-*149*00#
Iwe code yangu private ya mtandao wowote natakiwa kufanya nini?
REPOST NIJUE PLEASE
@VodacomTanzania
@Tigo_TZZ @Haloteltz
Ukitaka kudumu na kuwa na afya timamu:
1. Kula mara kwa mara, tena shiba sana
2. Kula sana ugali na wali upate energy
3. Kula chochote , zingatia kalori tu
4. Marufuku kufunga, utapata ulcers
5. Kula sana ngano, mababu zetu walikula sana
#SIKU100ZAUHURU
Epuka usumbufu na gharama za kuja mpaka tawini ili kupata huduma za kibenki.
Kupitia NBC Wakala aliye karibu nawe unaweza kulipa kistraika LUKU, maji, malipo ya Serikali na kodi mbalimbali.
#NBCBurudaTime#NBCWakala#DaimaKaribuNawe
SIKU 100 ZA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA MAISHA YAKO... 🫡
Kuanzia Kesho, Tar 01-03-2024 Utaenda Kuandika Historia ya Maisha Yako.
Labda uchague mwenyewe kubaki hivyo.
Repost Iwafikie Wana 🙏
Mafanikio ni siri kubwa.
Kwa bahati mbaya,
Wengi huwa hawasemi ukweli walipita wapi.
Kinachoonekana nje ni matukio tu ya spending.
Unachokiona ni cheche za mafanikio.
Wengi hampati kujua nini walipitia kuweza kutoboa.
Hizi siku za 100, ni mfano wa kile utakachopitia ili kuweza kuishi ndoto yako.
Je, unatamani:
-Kujenga nidhamu ya maisha ya kubadili maisha yako?
-Kuanzisha biashara mpya na hujui pa kuanzia?
-Kuacha porn na punyeto ili kuwa mwanaume?
-Kuanza kufanya mazoezi na kusihi kwa afya?
-Unatamani kubadili historia ya maisha yako?
-Kuacha kuahirisha mambo na kijisimamia?
-Kujifunza ujuzi mpya na hujui pa kuanzia?
-Kuanza kuishi kwa kusudi na malengo?
-Kuacha soda na energy na breakfast?
-Kuacha kuangalia TV, bange, pombe?
Sitokuahidi kuwa utafanikiwa...
Lakini ninaamini hizi siku 100, zitakuwa ni miezi 3 ambayo utaikumbuka daima maishani mwako.
Ni miezi 3 ambayo itakuwa ni sehemu muhimu ya kujenga nidhamu itakayoenda kulipa maisha yako yote.
Ni miezi 3 ambayo utafanya yale uliyoogopa kitambo, ni miezi ya kuishi ndoto yako uliyoiishi tu ndotoni.
Sasa ni wakati wa kufanya kwa vitendo…
Uwanja ni wako.
Hakuna kisingizio.
Wewe ni kuactivate tu mode.
MIMI Millambo nipo hapa kuongoza usukani huu kwa siku 100.
Ni Siku 100 zitakazokuacha na nguzo ya:
-Afya
-Ujuzi
-Pesa
-Fitness
-Mafanikio
-Connections
-Kila unachokitamani kwenye maisha haya
Kwa bahati nzuri ni kuwa hulipi hata 100.
Na tena, huna cha kupoteza kwenye challenge hii.
Zaidi ya kufaidika, huna hasara yoyote ile.
Imagine kuanza kujifunza ujuzi mpya utakaokufanya mtu muhimu na wa maana zaidi kwenye maisha YAKO.
Yaani, imagine zile ndoto zako kuanza kuziishi kikamilifu.
Unatamani kuwa blogger, now is the time.
Unatamani kuwa copywriter, now is the time.
Unatakani kujenga biashara, now is the time.
Unatamani kuwa mwanaume kweli, now is the time.
Unatamani kutoka nje na kuwa influence kwa watu, now is the time.
Hizi ni siku 100 ambazo ukiishi kwa 95%,
nakuhakikishia kuwa utakuwa ni story mpya kwako, marafiki na nduguzo.
Just Do It.
Just Give It a Try.
You will Never Regret It.
M W O N G O Z O…
A.Challenge yetu itakuwa kwenye phases 3:
1.Phase 1: The Teaser
2.Phase 2: The Hustle
3.Phase 3: The Life
Phase zote zitakuwa na siku 33.
B.Tutafanya challenge kwa siku 100, lakini ndani yake tutakuwa na phases 3.
C.Kila baada ya phase ni muhimu kungalia tulipotoka na kujipima.
D.Challenge yetu ina mambo makuu 6:
MAMBO-LAZIMA-KILA-SIKU:
1-Meditate kila siku kwa dakika 15
2-Fanya mazoezi kila siku kwa dakika 30
3-Soma kitabu kila siku kwa dakika 40
4-No sugar, soda, energy, pombe, breakfast
5-Jifunze ujuzi wa 1 wa thamani kila siku (kwa siku 100)
6-Acha tabia 2, na panda tabia mpya 2 kila siku (kwa siku 100)
…Kila siku lazima utimize mambo yote 6.
… Ukifeli kutimiza chini ya mambo 4 UNAANZA UPYA Challenge yako.
… Kila siku unatakiwa kufanya yote 6 kikamilifu
… Ukishindwa sana basi sio chini ya mambo 4 (Lazima utimize)
E.Weka Malengo kuhusiana na Ujuzi wa kujifunza na Tabia za kuacha.
… Mf: Najifunza copywrting kwa miezi 3 ili kubadili maisha yangu.
… Mf: Naacha kunywa pombe na kula bange kwa miezi 3 ili kujenga afya yangu.
… Mf: Naanzisha biashara ya kuuza chakula ndani ya siku 90.
F.Mambo mengine (4) fata masharti ya challenge kama yalivyo... Strictly!
G.Kila siku jioni jitathimini na uone performance yako:
… Ukiwa 6/6 - hongera
… Ukiwa 4/6 - bahati yako
… Ukiwa chini ya 4/6 - U N A R U D I A.
H.Kila baada ya siku 7, fanya tathimini ya maendeleo yako. Itakupa motisha zaidi.
… Ili ujue pa kuweka mkazo na pa kuongeza nguvu.
I.Baada ya phase 1, kila baada ya siku 33 (phase), Fanya tathimini ya maendeleo yako.
J.Baada ya Siku 100 Njoo Hapa Tupe Ushuhuda.
Tafiti zinaonesha kuwa:
Unahitaji siku 60 pekee kuifanya tabia kuwa automatic, imagine unazo siku 100.
The power of consistence...
Unajua unachoweza kuachieve ndani ya huu muda?
Ni wewe tu.
Sasa kazi kwako.
Kubadili maisha yako ndani ya siku 100.
Au kubaki hapo ulipo na kuendelea kulalamika.
#SIKU100ZAUHURU ni maalum kwa wote:
-wanaotamani kufanya kitu na hawajui pa kuanzia
-Waotamani kujifunza kitu na hawajui pa kuanzia
-Wanaotamani kuacha vitu na hawajui pa kuanzia
-Wanaotmani kuishi ndoto zao na hawajui pa kuanzia
Ni maalum kwa wote wanaotamani kuishi maisha ya ndoto zao.
MUDA: March 01 – June 08.
Tukutane kwenye #SIKU100ZAUHURU
#INAWEZEKANA
Ikushiriki niambie “Am In”
Jiunge na telegram yetu ili kushiriki challenge kikamilifu.
Link: https://t.co/oDLpBYireS
#Tutoboewote
0754087177
SIKU '100' ZINATOSHA KUISHI MAFANIKIO YAKO 🫡
Wenye kufanikiwa watajitenga na wasindikizaji.
Kwenya maisha kuna aina 2 za watu.
1. Wanaotamani kitu na kukifanya mpaka wafanikiwe
2. Wanaotamani kitu na kuishia kula kwa macho
Ndani ya dakika 2 tu utagundua siri itakayokutenga na 99% ya watu.
REPOST - #SIKU100ZAUHURU
Watu wengi hufa wakiwa na miak 27 na kuzikwa wakiwa na 72... Mark Twain.
Kwanini?
Wanaishi kile wamepangiwa na jamii.
Hawajikumbuki wao na ndoto zao.
99% ya wanadamu wote hawatumii hata 10% tu ya potential zao.
Mungu alipomuumba mwanadau alimpa akili na utashi.
Maana yake, kila mtu alipewa siraha na nyenzo ya mafanikio.
Shida ni kuwa wengi wanatamani kufanikiwa,
Lakini hawawezi kuwekeza muda, maarifa na nguvu kuitafuta kesho yao.
Watu wameishia kutamani tu.
Wengi wanatamani:
✔️ Kuacha kuahirisha mambo
✔️ Kuanza kuishi kwa kusudi
✔️Kuanza kufanya mazoezi
✔️ Kuanza kuamka mapema
✔️ Kuacha porn na punyeto
✔️Kuanza kuamka asubuhi
✔️Kuacha soda na energy
✔️ Kuanza kujifunza ujuzi
✔️ Kuanza kusoma vitabu
✔️ Kuacha kuangalia TV
✔️ Kuanzisha biashara
✔️ Kuacha kulalamika
✔️ Kujenga nidhamu
✔️ Kuacha pombe
✔️ Kuacha bange
✔️Kuacha sigara
✔️ Kujitegemea
Yote haya yanbaki kuwa matamanio tu.
Kama hutaanza hatua ya kwanza kutenda.
Ujasiri wa kuanza unazidi kuwa mbali na uhalisia.
Ndio maana kila mtu anaweza kujua njia ya mafanikio,
Lakini wachache watachukua hatua za makusudi kufanikisha.
Kuanza kufanya jambo jipya sio tija ya kufanikiwa bali ni dalili kuwa huko mbele unaweza kutoboa.
Siri ipo kwenye kuanza na wengi wanakosa nguvu ya kuanza kuishi kile wanakiona kwenye ndoto zao.
#SIKU100ZAUHURU ni maalum kwa wote:
- wanaotamani kufanya kitu na hawajui pa kuanzia
- Waotamani kujifunza kitu na hawajui pa kuanzia
- Wanaotamani kuacha vitu na hawajui pa kuanzia
- Wanaotmani kuishi ndoto zao na hawajui pa kuanzia
Ni maalum kwa wote wanaotamani kuishi maisha ya ndoto zao.
Usitumie akili na nguvu nyingi.
Wewe jibane kwa siku 100 tu.
Mengine achana nayo.
Fanya bila kujali nani anaona.
Fanya kama ahadi ya utu.
Mara nyingi watu hujidanganya kuishi watakavyo kwa sababu hakuna anaewaona sirini.
Kwenye siku hizi 100. Jikane. Jikatae. Jitoe sadaka.
Ili kuweza kupanda mbegu za kuishi maisha yako.
MAMBO-YA-LAZIMA (Rules of the game):
1- Meditate kila siku kwa dakika 15
2- Fanya mazoezi kila siku kwa dakika 30
3- Soma kitabu kila siku kwa dakika 40
4- No sugar, soda, energy, pombe, breakfast
5- Jifunze ujuzi 1 wa thamani (kila siku kwa siku 100)
6- Acha tabia 2, na panda tabia 2 mpya (kwa siku 100)
MUDA: March 01 – June 08.
Kama wewe ni jasiri na unataka kufanikiwa hii hapa sehemu ya kuanzia.
Hapa ndio utajua kama kweli unataka kufanikiwa ama ulikuja kusindikiza wengine.
Najua wengi wataogopa kuingia challenge ili wasijekushindwa na kujiabisha moyoni.
Lakini majasiri watafanya challenge na kuanza kuishi maisha ya ndoto zao ambayo wengi wamekuwa wakitayatamani tu.
Wtakaojikana, jikataa, jitolea na kujitoa sadaka kwa siku hizi 100 tu watakuwa wamejitendea haki kwenye maisha yao ya hapa duniani, kwani hawatabaki kama walivyokuwa.
Kama kweli huwa unatamani kufanya mabadiliko kwenye maisha yako.
Muda ndio sasa.
Hizi ni siku 100 za kuwatenga watu kweli na wasindikizaji.
Kama kweli unajiamini unaweza kuwa mtu kati ya watu, nyoosha kidole na twende pamoja.
Lakini kama bado huwezi kurisk hata kujaribu.
Basi mafanikio sio ya kila mtu.
Tukutane kwenye #SIKU100ZAUHURU
#INAWEZEKANA
Ikushiriki Comment neno“Am In”
lakini pia ingia kwenye telegram yetu ili kushiriki challenge kikamilifu.
Link: https://t.co/oDLpBYireS
Usisahau "REPOST" Iwafikie Wengi.
Na Mtag mwana unayetamani kushiriki nae.
#Tutoboewote
0754087177