@mangekimambi Tukumbuke kitu kimoja, yote haya ni Tanganyika.
kisa kichwa cha habari kinasema Tanzania usidhani Zanzibar inahusika, hapo ni Tanganyika tu inavurugwa.
1. Rasilimali zinazowekwa rehani,
2. Stability ya maisha inayochezewa,
ni Tanganyika.
Huyu ni mkakati wa Zanzibar kutumaliza.
@MariaSTsehai@Tanzaiite Madam waamvie wanaharakati wakiwa wanakimbia kuelekeabulaya wasipitie uturuki maana huyu mama atamtumia Erogani kuwanasa au dubai kupitia waarab
@MrB_Official04 Duhhh limejitoa ufahamuuu kama tsmthilia za alufuulela . Haya majamaaa yamekunya AI, hayana control tena ni AI ndio inawaongoza...Au mimi ndio nayaona hivyo?
Haya ni baadhi ya majina ya watu ambao Nduli Idd Amin Mama aliwauwa kwa risasi Oktoba 29, 2025, hawa ni wale ambao familia zao zilikubali majina ya wapendwa wao yaweshared.
Hatutaacha kusema juu ya damu za ndugu zetu mpaka pale Haki yao itakapo patikana.
Mungu aendelee kuwapa pumziko la milele wapendwa wetu.🙏😭
PhD zinaendelea kutoa SHULE.🔞
Maneno ya Rev.Dr.Owdenburg Mdegela (PhD), Baba Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Iringa kwenye ibada maalumu ya Jubilee ya ujio wa Wamisionari wa Kilutheri Tanzania, iliyofanyika Dayosisi ya Kati (Singida).
Repost 200